Tatizo la hii fridge ni nini?

Dola Iddy Wa Chelsea

JF-Expert Member
Sep 26, 2014
2,114
1,485
Habari za muda huu wapendwa waheshimiwa wa JF.
Nina Jokofu langu lina muda wa takribani miaka minne tangu nilinunue yaani siku hizi ukiliwasha linawaka kama siku mbili au 3 kisha linajizima , inaweza kuchukua hata mwezi mmoja ndo likawaka tena kiukweli bado sijajua tatizo ni nini na ningependa mnishauri tatizo litakuwa kwenye nini ili nijue wapi pa kuanzia , Shukrani sana wadau.
 
Huku kwetu hakuna mafundi Jokofu ila kwa upeo wangu nadhani kuna kifaa kitakuwa hakifanyi kazi sawa sawa ni vema nikasaidiwa ni kipi ili nikiweke manake ishakuwa kero.
Kwenu wapi huko ambako hakuna mafundi? Jokofu utengenezaji wake sio sawa na redio. Unahitaji nyenzo hasa!
 
Habari za muda huu wapendwa waheshimiwa wa JF.
Nina Jokofu langu lina muda wa takribani miaka minne tangu nilinunue yaani siku hizi ukiliwasha linawaka kama siku mbili au 3 kisha linajizima , inaweza kuchukua hata mwezi mmoja ndo likawaka tena kiukweli bado sijajua tatizo ni nini na ningependa mnishauri tatizo litakuwa kwenye nini ili nijue wapi pa kuanzia , Shukrani sana wadau.
Liwekeee mboga za majani na matunda ya kunukia ...halitazimika asilani
 
Back
Top Bottom