Tatizo la gundi (tapes) katika madirisha ya alluminium

Tape hizo zikikaa sana wakati wa kubandua zikitoka zinaacha alama

Ova
 
Basi tumie kiwembe.
Kama unaweza jaribu na kiwembe kwanza eneo dogo. Ukiona matokeo mazuri endelea.

Nilikuwa na tatizo kama lako kwa zaidi ya miaka mi5 na sticker hizo zilikuwa zimekaukia kabisa kwenye aluminum.
Fundi alichukua kama wiki 2 hivi kumailiza hiyo kazi ambapo ilikuwa madirisha 25 jumla.
Usikate tamaa, taaratibu tu, mdogomdogo.
Analiyeliwa hakuagi !!
duuh 25 windows? Hawa mafundi wa alluminium hawajuo hili tatizo mpka wanawaingiza wateja kwenye hasara?
 
Back
Top Bottom