BLESSED BOY
Member
- Sep 2, 2017
- 78
- 70
KAMA UNAAMNI, tafuta sehemu ambapo pana Mungu wa kweli kaombewe. Nimejionea mwenyewe mahali watu wakipona kisukari, hiv, tb nk. Hakuna lisilowezekana kwa Mungu.Habari Leo wadau naomba msaada as wadau kuhusu ugonjwa kisukari.nimeangaika kila kona nimekunywakaribu dawa nyingi na nimetumia hela nyingi sana mpk sasa nimekata tamaa naona nasubiri tu kudra za mungu manake hela tena sina sukari ipo juu kushuka ni mpk dawaza hospital inashuka kidogo tu.naomba msaada jamani sukari inanitesa nimeisha nimebaki skeleton