Tatizo la foleni Kibaha litakuwa kubwa zaidi mwakani juhudi za ziada zisipofanyika haraka

Tanzania tunajenga sana barabara, kwa hili serikali inahitaji pongezi...

Lakini tunajenga barabara za namna gani, hii imebaki kuwa changamoto...

Huwa zinatengenezwa barabara za kutatua changamoto ya wakati uliopo na si wakati wote...

Mathalani, unapotengeneza barabara yenye kubeba magari mengi kama hicho kipande cha Kimara hadi Mailimoja, kunatakiwa kuwe na overpass au underpass karibu kila sehemu yenye mji mkubwa ili kuepeusha maingiliano na barabara hiyo kubwa...

Pia namna ya kuexit au kuingia barabara kubwa kunakuwa tofauti na sio kwa ghafla (perpendicula r entries au exits)...

Yapo mengi ya kuandika...
Hapa ndipo kila ukiingia kwenye semina za usalama Bara barani wakubwa hawakubali ushauri, mfano ukikaribia buguruni kwanini gari linalokwenda ilala mpaka lifike mataa ndio likate kona? Kulitakiwa mt 200 kuanze mchepuko wa watu wanaokwenda ilala hapo unapunguza mzigo kwenye njia ya moja kwa moja.
 
Siasa zimechukua nafasi ya ujuzi

Naam mkuu...hatuna zile exits ambazo zipo smooth, halafu hata ukifika mahali pa kukata kona una yield badala ya kuanza subiria taa ikuruhusu
 
Kama vp wakarabati barabara ya zamani, mf huu ukarabati unaondelea picha ya ndege wangekarabti barabara ya zamani hata kwa kuziba mashimo sehemu korofi hii foleni inayondelea ingepungua mana magari ya upande mmoja yangepita barabara ya zamani mpaka kongowe au misugusugu na mengine yangetumia njia moja na njia nyingine wangeendelea na ukarabati Safi kabisa.
 
Tanzania tunajenga sana barabara, kwa hili serikali inahitaji pongezi...

Lakini tunajenga barabara za namna gani, hii imebaki kuwa changamoto...

Huwa zinatengenezwa barabara za kutatua changamoto ya wakati uliopo na si wakati wote...

Mathalani, unapotengeneza barabara yenye kubeba magari mengi kama hicho kipande cha Kimara hadi Mailimoja, kunatakiwa kuwe na overpass au underpass karibu kila sehemu yenye mji mkubwa ili kuepeusha maingiliano na barabara hiyo kubwa...

Pia namna ya kuexit au kuingia barabara kubwa kunakuwa tofauti na sio kwa ghafla (perpendicula r entries au exits)...

Yapo mengi ya kuandika...
Ukiangalia vizuri mradi wa kimara kibaha kuna overpass moja pale njia panda ya mloganzila, pia kuna kuna proposal pale njia panda ya Goba kama itakubaliwa
 
Ndugu Mshana jr
Mradi wa kimara/kibaha ni phase I na phase II ni kibaha/chalinze hivyo tuwe na subira
Ukiisha mradi wa kwanza huenda utaanza huo mwingine
 
Jumamosi iliyopita nilikuwa naenda picha ya ndege ile foleni sijapata kuona. Ikabidi konda atupitishe tumbi hospitali. Wakati wa kurudi niliona kuna daladala za chalinze eti zinaamua kugeuzia picha ya ndege kwa sababu ya foleni. Nilichogundua foleni inayahusu magari yanayoelekea Moro, ila yanayokuja mjini afadhali.
 
Nakubaliana nawe kwenye hili sina tatizo kabisa... Ila ombi langu kwasasa ni hatua za dharura kutengeneza michepuko ili kuokoa foleni ya kutisha kuanzia Maili moja mpaka kongowe
Ndugu Mshana jr
Mradi wa kimara/kibaha ni phase I na phase II ni kibaha/chalinze hivyo tuwe na subira
Ukiisha mradi wa kwanza huenda utaanza huo mwingine
 
Wote tunatambua barabara zetu zilivyo nyembamba hapa Tanzania.. Na mojawapo wa bara bara hizo ni barabara muhimu ya Morogoro inayoanzia karibu kabisa na bandarini
Ni katika kukabiliana na hali ya foleni na kuboresha barabara zetu, barabara hii imefanyiwa ukarabati na kupanuliwa mara kadhaa lakini maboresho ya awamu hii yakiwa makubwa zaidi kwa barabara kupanuliwa na kuwa njia nne kila upande kuanzia Kimara mwisho mpaka Kibaha... Original plan ilikuwa mpaka Chalinze

Kibaha ni mji jirani na Dar na ni mji unaokua kwa kasi sana kutokana na uwekezaji wa viwanda.... Lakini kasi ya ukuaji huu haiendani kabisa na maboresho ya miundombinu hasa barabara
Kukiacha hiki kipande muhimu cha kibaha mpaka Mwendapole chenye harakati nyingi za kibinadamu ni kuleta tatizo jipya lililopata ufumbuzi mahali pengine
Kwasasa magari yanajiachia kwa uhuru kutoka Kimara huku kukiwa na barabara za michepuko nyingi tu hadi Kibaha mizani... Yakifika hapo hujikuta yote yanakwama kwa kujibana kwenye kanjia kamoja na bila mchepuko hata mmoja
Imagine magari yote yanayokusanywa toka Dar na viunga vyake kuingia Moro goro road pana yanakuja kukumbana na uchochoro mizani... Na hali inakuwa mbaya zaidi maeneo ya ujenzi kilichopo kituo kipya na mchepuko tokea Bagamoyo.. Hata kama mtu ata dirvate apitie Tumbi atokee picha ya ndege atakumbana na foleni ileile...

Kwasasa barabara nane za Kimara Kibaha hazijafunguliwa zote lakini tayari tatizo kubwa la foleni limeshaonekana... Je zitakapofunguliwa itakuwaje? Hakuna michepuko ukifika kibaha... Kuna barabara nyembamba inayobeba magari yote yanayoingia na kutoka jijini
Ni vema hatua za dharura zichukuliwe mapema kuokoa hii hali la sivyo tutakuwa tumetatua tatito dogo mahali na kulihamishia pengine na kuligeuza kuwa kubwa zaidi na baya zaidi...
Ni wazi bajeti kwasasa hairuhusu upanuzi walau mpaka Misugusugu lakini option ya kuwa na michepuko haikwepeki la sivyo mradi wote utakuwa hauna maana na kibaha inaweza kuwa eneo baya na hatari kwa foleni za kutisha
Tunajenga kwanza Chato maendeleo hayana chama...
 
nilisikia kuna mipango ya kuirekebisha ile barabara ya zamani kuanzia picha ya ndege hadi misugusugu ili magari ya mizigo yawe yanaitumia ile
Mkuu huu mpango ulikuwepo miaka nafikiri 10 iliyo pita lakini uka yeyuka, tulialikwa kampuni zote za uasfirishaji kipindi serekali ya awamu ya 4 inaanza kazi tukazunguka toka moro mapaka Dar,lengo ilikuwa kukusanya maoni ya sekta ya usafirishaji na wengi tuliuafiki lakini uliyeyuka kama bonge la barafu kwenye jua.
 
Nakubaliana nawe kwenye hili sina tatizo kabisa... Ila ombi langu kwasasa ni hatua za dharura kutengeneza michepuko ili kuokoa foleni ya kutisha kuanzia Maili moja mpaka kongowe
Naunga mkono hoja na hilo ndilo walilolisahau na viongozi wanao simamia mradi huu wameziba masikio na macho.
 
Kwahiyo kazi yote mliyofanya ikawa si lolote.??makabrasha yakafungiwa kabatini?
Mkuu huu mpango ulikuwepo miaka nafikiri 10 iliyo pita lakini uka yeyuka, tulialikwa kampuni zote za uasfirishaji kipindi serekali ya awamu ya 4 inaanza kazi tukazunguka toka moro mapaka Dar,lengo ilikuwa kukusanya maoni ya sekta ya usafirishaji na wengi tuliuafiki lakini uliyeyuka kama bonge la barafu kwenye jua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom