Tatizo la Five Year Development Plan (2011/12-2015/16) ambao J.K aliuzindua bungeni. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tatizo la Five Year Development Plan (2011/12-2015/16) ambao J.K aliuzindua bungeni.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by sixgates, Jun 20, 2012.

 1. sixgates

  sixgates JF-Expert Member

  #1
  Jun 20, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 3,974
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  wadau poleni kwa shughuli na hali ngumu ya maisha. tanzania imekua na mipango mingi ila kumsaidia mtanzania kuondokana na umasikini.. mpango wa miaka mitano uliozinduliwa last year na J.K una matatizo gani kiufundi kwa wale waliofanikiwa kuusoma naombeni michango yenu.
   
 2. babe S

  babe S JF-Expert Member

  #2
  Jun 20, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 3,703
  Likes Received: 19,819
  Trophy Points: 280
  Kiukweli mimi sijausoma ila naweza kuongelea hizi plans generaaly zinazotelewa na serikali, mara nyingi zinakuwaga theoretical na sa nyingine objectives zake ni unachiavable ukichanganya na utekelezaji mbaya lazima zinakuwa doomed to failure
   
Loading...