Hili tatizo la elimu na afya linaweza lisiishe kwa njisi tunavyoenda na ukilinganisha na resources zetu.
Njia rahisi ya mda mfupi serikali iruhusu wa kenya na foreigners wote katika hii sekta waajiriwe kwa mikataba ya mda yani sekta ya elimu na afya. Hii itaongeza ushindani na kupunguza migomo isiyo na tija.
Pili, unawatumia foreigners ambao huku invest kwao ktk elimu hii ni cost effective.
Tatu foreigners hua wanaajiriwa kwa bei poa sana maana hawawezi demand low wages kurekebishwa.
Nne na mwisho foreigners huwa hawagomi wala kuyumbisha serikali kwa migomo.
Hitimisho, naonelea serikali iruhusu wageni waje kwenye sekta ya elimu na afya wafanye kazi. Hii mbinu iliwahi tumiwa na Botswana na Namibia miaka ya huko nyuma. Na pia, ni afya kwa taifa kuiba watalaamu kutoka nchi zingine ambao haikuwekeza kwao.
References: Uingereza wafanyakazi wengi ni wahindi na waafrika na wapolish na hua hawagomi.