Tatizo la CCM sio CCM bali mfumo ndani ya CCM; mbele kuna giza nene

Subira the princess

JF-Expert Member
Mar 3, 2018
2,462
2,633
Wasalaam, naanza kwa kunukuu maneno ya mwl nyerere " upinzani wa kweli utatoka ccm" niliwahi kusema ccm ni janga la kitaifa sikueleweka lakini kufikia Leo dalili ziko wazi kwamba ccm inaenda kupasuka vipande viwili na kuzaa chama kikubwa cha upinzani kitakachoiondoa ccm madarakani 2020. Ccm imekosa mfumo wa kudumu na Sera mbadala ktk kutokomeza umasikini, kila mtawala anatawala kwa kanuni zake na sio kàtiba.

Tujiulize tumekwama wapi kama tatizo ni ccm tutumia haki ya kupiga kura kuiondoa ccm madarakani kupitia sanduku la kura pia kama tatizo ni mfumo ndani ya ccm kadhalika tuikatae ccm kupitia sanduku la kura. Mwisho namalizia kwa kunukuu kauli ya mwl nyerere kwamba, "atakaeiua ccm ni mwana ccm mwenyewe" ova
 
.
IMG-20190721-WA0062.jpeg
 
Hii kauli ya upinzani wa kweli ulianziaa kwa lowasa sasa yuko wapi..
Nyie jidanganyeni tuu..
Poleni sana
 
Kundi la fulani linalojiona lina haki ya kutawala CCM na Tanzania haliwezi kushinda kundi linaloongoza nchi.

Hata wao wanajua kabisa kuwa sasa hivi hawana mamlaka yoyote. Sanasana CCM inazidi kuimarika.
 
Back
Top Bottom