Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 30,708
- 39,788
Mkuu naomba msaada zaid maana naona kama itanisimbua ivi vyote navyofanya ni bado yaani sijui nifanyaje apo
unavyofanya vipi? umeiweka off bado inakula bundle? maana sikuelewi
Mkuu naomba msaada zaid maana naona kama itanisimbua ivi vyote navyofanya ni bado yaani sijui nifanyaje apo
Mkuu naomba msaada zaid maana naona kama itanisimbua ivi vyote navyofanya ni bado yaani sijui nifanyaje apo
kaka umeshafanya iv rudisha feedback upate msaada zaidi
ingia kwenye app ya dropbox kisha click setting/preference halafu tafuta camera upload ieke off.
Habarini wanajamvi.
Shida yangu ni kuhusu net katika simu yangu yaani nikijiunga na mb 200 basi ni dakika tu kinaisha wakati nimefungua data tu tena kwa kuperuzi tu jf ndani ya dakika 20 kinaisha.Au kuna kifurushi maalum kwa simu hizi,au ni setting tu.
Asanteh.
Habari mkuu nakutana nalo hili na nimezima app background kwa app zote ila ndani ha dk 20 sijatumia kitu chochote zimeenda kama MB 36 hivi natumia Tigo je kuna app ya kuzuia hili bila simu kuwa rooted?dropbox ina maana inafanya backup ya media hasa hasa picha zako. unachotakiwa ni kueka off feature ya auto upload. ingia kwenye app ya dropbox kisha click setting/preference halafu tafuta camera upload ieke off
Eka glasswire firewall ipo playstore haitazuia ila itakuambia ni app gani imekula hizo mb na hivyo kukupa pa kuanzia.Habari mkuu nakutana nalo hili na nimezima app background kwa app zote ila ndani ha dk 20 sijatumia kitu chochote zimeenda kama MB 36 hivi natumia Tigo je kuna app ya kuzuia hili bila simu kuwa rooted?