Tatizo la Bundle la Internent kuisha haraka

haa mym

JF-Expert Member
Jul 7, 2014
4,823
4,556
Habarini wanajamvi.

Shida yangu ni kuhusu net katika simu yangu yaani nikijiunga na mb 200 basi ni dakika tu kinaisha wakati nimefungua data tu tena kwa kuperuzi tu jf ndani ya dakika 20 kinaisha.Au kuna kifurushi maalum kwa simu hizi,au ni setting tu.

Asanteh.
 
Habarini wanajamvi.Shida yangu ni kuhusu net katika simu yangu yaani nikijiunga na mb 200 basi ni dakika tu kinaisha wakati nimefungua data tu tena kwa kuperuzi tu jf ndani ya dakika 20 kinaisha.Au kuna kifurushi maalum kwa simu hizi,au ni setting tu.Asanteh

Unatumia Instagram ?
 
Kuna backgroud apps zinazoping server f
or updates.
Na kuna apps pia zinazojiupdate zenyewe Nenda kwanza googleplay > Settings > Auto updates > do not auto update apps.

Shukrani ngoja nilifanyie kazi nitakuletea taarifa.
 
Kuna backgroud apps zinazoping server f
or updates.
Na kuna apps pia zinazojiupdate zenyewe Nenda kwanza googleplay > Settings > Auto updates > do not auto update apps.

Kska bado sijaipata iyo googleplay au ulimaanisha google setting ingawa natafuta bado sijaona mpaka kwa setting nimefika nipe muongozo kidogo
 
Kuna backgroud apps zinazoping server f
or updates.
Na kuna apps pia zinazojiupdate zenyewe Nenda kwanza googleplay > Settings > Auto updates > do not auto update apps.

Sorry kaka mkubwa nimeipata na nimeshaset do not auto update ngoja niyumie niangalie inakuaje ingawa huku ilisetiwa auto update by wi fi
 
Sorry kaka mkubwa nimeipata na nimeshaset do not auto update ngoja niyumie niangalie inakuaje ingawa huku ilisetiwa auto update by wi fi

kama ilikua by Wi-Fi then inaezekana ikawa sio tatizo, basi download My Date Manager on playstore afu angalia ni app gani inayokula mno Data.
 
kama ilikua by Wi-Fi then inaezekana ikawa sio tatizo, basi download My Date Manager on playstore afu angalia ni app gani inayokula mno Data.

Nimesha download ila sijajua jinsi ya kuzifunga izo app msaada kidogo kionhoz
 
Bado sija root na nimeshaona kuna dropbox ndo inanimalizia bandle sijui nifsnye vp apo

Yeaah dropbox na facebook, kustop specific apps zinazokula data kuna apps hizi apa nazo zinahitaji Root Access

*DroidWall
*Android Firewall
*Root Firewall
 
Yeaah dropbox na facebook, kustop specific apps zinazokula data kuna apps hizi apa nazo zinahitaji Root Access

*DroidWall
*Android Firewall
*Root Firewall

Kwa hiyo nifanyaje kuxuia ili tatizo inabini niroot sim au na kama ni hivyo nipe njia mzur ya kuroot bila kuharibu sim kwa galaxy s4
 
Bado sija root na nimeshaona kuna dropbox ndo inanimalizia bandle sijui nifsnye vp apo

dropbox ina maana inafanya backup ya media hasa hasa picha zako. unachotakiwa ni kueka off feature ya auto upload. ingia kwenye app ya dropbox kisha click setting/preference halafu tafuta camera upload ieke off
 
Kwa hiyo nifanyaje kuxuia ili tatizo inabini niroot sim au na kama ni hivyo nipe njia mzur ya kuroot bila kuharibu sim kwa galaxy s4

Unatakiwa kuroot simu yako ili uweze kurun apps zitakazo zuia hilo tatizo, sio unaroot ili kuzuia tatizo.
. Mana sio apps zote zina option yakudisable auto-connection kama dropbox na googleplay

Am on school computer lab ain't have enough time now to help you on rooting... Ni rahisi tu kuna thread kibao humu ndani search au fungua new thread.
 
dropbox ina maana inafanya backup ya media hasa hasa picha zako. unachotakiwa ni kueka off feature ya auto upload. ingia kwenye app ya dropbox kisha click setting/preference halafu tafuta camera upload ieke off

Mkuu naomba msaada zaid maana naona kama itanisimbua ivi vyote navyofanya ni bado yaani sijui nifanyaje apo
 
Back
Top Bottom