Tatizo la subwoofer na TV kuunguruma kama kama genereta

Nimejaribu ku disconnect kila kitu ila bado muungurumo upo
Tumia stabilizer! Ili u-prove kama radio na TV yako mzima nenda navyo kajaribu maeneo ambayo Umeme unatumika sana! From my experience hali hiyo inazidi Muda wa jioni! Ambapo watu wengi wanatumia Umeme!
 
1. spakeauti moja ikiwa ndogo kabisa na nyengine ikiwa kubwa kabisa inaweza sababisha, cheki sauti ya tv, sabufa, kingamuzi etc

2. waya zinagusana au kuna waya umechomeka si mahala pake
Kumbe kuna ma IT wazuri humu. Safi sana kijana kwa maelezo mazuri
Mkuu ni subwoofer sio bufa. Huo mngurumo kuna cable zako za kutoka ktk TV kwenda ktk Subwoofer zitakuwa zimektika waya wa ground kwa hivyo zikigusana ncha inatulia na zikiachia inatoa sauti ya mngurumo. Au TV yako ndio inatoa kelele kisha zinakuzwa na sound/power amplifier iliyopo ndani ya subwoofer. Ni noise amplification. Kajaribu kununua cable mpya za A/V signal ujaribu. Kama bado tatizo basi TV au Subwoofer kimoja kina tatizo hasa sound amplifier jaribu kuchomeka flash au memory card direct ktk Subwoofer kelele zikiisha basi subwoofer haina tatizo rudi ktk TV na cable. Angalia pia cable za kutoka ktk king'amuzi(decoder) kwenda ktk TV. Ukifanikiwa tupe mrejesho.
 
Kila kitu nmechomeka vzr nmejarb pia kuwasha sabufa pekeee yan bado inatoa muungulumo hali kadharika na kwenye tv nmeiwashaka pekee bado inatoa hyo saut ya muungulumo.
Washa vyote pekee Angalizo chomoa AV WAYA lete mrejesho N.B Huo waya usibakie kwenye vyote viwili (weka mfukoni)
 
Habar za wikendi ndugu, kuna bufa yangu na TV kuanzia juz zinatoa mlioa ka muungulumo wa genereta , wakat mwingne zinatulia but mda tena huanza sasa sjui tatzo nn mana huo muungurumo unasumbua sana, natumia umeme sio genereta. Msaada ndugu.
Wakati mwingine kama simu iko karibu na tv au bufa inasababisha kukiroma. Hasa hizi tecno.
 
1. spakeauti moja ikiwa ndogo kabisa na nyengine ikiwa kubwa kabisa inaweza sababisha, cheki sauti ya tv, sabufa, kingamuzi etc

2. waya zinagusana au kuna waya umechomeka si mahala pake
Mkuu ina maana si vizuri sauti ya Mfano TV kuwa ndogo alafu RADIO iwe kubwa(Home theater)...

Mfano mimi huwa napendelea Kuweka Sauti ya HOME THEATRE kubwa, Alafu Sauti ya TV naiweka ZERO...

Vipi huwa nakosea hapo Mzee????
 
Nime sasambua kila kitu ad nimetoa Av waya kwenye bufa lakn bado bufa inaaunguluma
Hapo tatizo ni sub wofer, muone fundi hapo kuna mawili power supply (mfumo wa voltage kwenye sb woofer) ama ic zake ama transistor za out put inategemea na muundo wa sub woofer
 
Mkuu ina maana si vizuri sauti ya Mfano TV kuwa ndogo alafu RADIO iwe kubwa(Home theater)...

Mfano mimi huwa napendelea Kuweka Sauti ya HOME THEATRE kubwa, Alafu Sauti ya TV naiweka ZERO...

Vipi huwa nakosea hapo Mzee????
Hujakosea mkuu,

Kuna baadhi ya vifaa ukiweka sauti kubwa mfano 100 speaker zake hutoa muungurumo hivyo kama unakukera muungurumo ndio unapunguza. Ila kama kwako hakuna sauti inayokera endelea tu kuweka hivyo hakuna tabu.
 
Natamani ungeleta mrejesho ulifanikiwa kutatua tatizo au ilikuwaje.

Utawasaidia wengine.
 
Mkuu mrejesho pls
Habar za wikendi ndugu, kuna bufa yangu na TV kuanzia juz zinatoa mlioa ka muungulumo wa genereta , wakat mwingne zinatulia but mda tena huanza sasa sjui tatzo nn mana huo muungurumo unasumbua sana, natumia umeme sio genereta. Msaada ndugu.
 
Mkuu ushatatua tatizo au vep .. kam bado jaribu kuchomoa uo waya 2 in one kabsa
 
Habar za wikendi ndugu, kuna subwoofer yangu na TV kuanzia juzi zinatoa mlioa ka muungurumo wa genereta wakati mwingne zinatulia but muda tena huanza sasa sjui tatizo nini maana huo muungurumo unasumbua sana, natumia umeme sio genereta. Msaada ndugu.
Mkuu mrejesho
 
Back
Top Bottom