Tatizo la ajira lisiwe ndiyo umaskini wa maisha

adataro

Member
Aug 15, 2012
36
0
Je, wewe unafikiri ni miongoni mwa watu wanaotafuta na kuumiza kichwa kuwa utafanyaje maisha hayaendi?
Nataka nikuondoe hofu kwani njia ya kupata mafanikio makubwa ipo kwa mtaji mdogo sana wa kuanzia sh 60000/- na mtaji wa mwisho ni sh 400000/- tu. Kama unahisi una shaka lolote kuhusu namna utakavyoweza kupata maendeleo makubwa sana kwa kiasi hicho kidogo cha fedha niandikie kwa email adataro@yahoo.com

Note: Mafanikio yanaanza na wewe mwenyewe kuthubutu. Mimi nipo kwa ajili ya kukufanya uthubutu karibu
 
mkuu,ulikuwa unabeep?mbn watumiwa mail afu husanuki na hayo maujanja?ka vp tiririkia humu bac pipo wanufaike!fanya hvyo 2one!
 
mkuu,ulikuwa unabeep?mbn watumiwa mail afu husanuki na hayo maujanja?ka vp tiririkia humu bac pipo wanufaike!fanya hvyo 2one!

Email nilizotumiwa zote zimeshajibiwa. Rejea katika inbox yako kisoda.
Thanx!
 
je, wewe unafikiri ni miongoni mwa watu wanaotafuta na kuumiza kichwa kuwa utafanyaje maisha hayaendi?
Nataka nikuondoe hofu kwani njia ya kupata mafanikio makubwa ipo kwa mtaji mdogo sana wa kuanzia sh 60000/- na mtaji wa mwisho ni sh 400000/- tu. Kama unahisi una shaka lolote kuhusu namna utakavyoweza kupata maendeleo makubwa sana kwa kiasi hicho kidogo cha fedha niandikie kwa email adataro@yahoo.com

note: Mafanikio yanaanza na wewe mwenyewe kuthubutu. Mimi nipo kwa ajili ya kukufanya uthubutu karibu
pia wale wanaowahi miezi 2 ya mwanzo wanaweza kufaidi zaidi
 
Back
Top Bottom