Tatizo la ajira kwa vijana waliohitimu chuo nani alaumiwe??

Nimetembelea kenya rwanda.. nigeria. Vijana wa hizo nchi tatizo la ajira ni kubwa kuliko la kwetu. Ila kuna kitu kinaitwa technolgy startup..hivi ni vikund vya wahitimu wa masomo ya sayansi ambao wanafanya vumbuz mbali mbali.. baadae wanaomba funds kutoka mashirika flani na wanakubalika.
Na wengi wametokea hapa... wameanza startups baadae zikawa kampuni.wakaajiri wenzao.
Niseme mambo kama haya yanahitaj subira.. faida utaiona mwanzon ila baadaee pesa itaanza kuonekana

Sent using Jamii Forums mobile app
Uvumbuzi kama upi?

Hapa nakubaliana na wewe ,lakin our government sidhan kama wapo aware na kuwa sponsor vijana ambao ni innovative

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi serikal inaposema nikaji ajiri inanichanganya sana , maana ya kujiajiri nini labda ? Maana ukisema uingie kwenye kilimo ni ngumu zote tunaona mvua hazipo pia kilimo kinahitaji capital pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni sehemu ipi kwenye mtaala inasema utaajiriwa ukimaliza masomo?
Kazi ya serikali ni pamoja na kuhakikisha huduma za jamii na mahitaji muhimu yanapatikana. Hizo huduma za jamii zinafanywa na nguvu kazi ambayo ni watu wanaopaswa kuajiriwa.

Mashuleni, mahospitalini, viwandani, kazi za mikono, maofisini, mashambani, huko kote panahitaji watu!! Ni wajibu wa serikali kuajiri watu ama kuweka mazingira rafiki kwa ajili ya watu kujiajiri na kuzalisha!

Wewe umekaa hapo kibwanyenye unapunga upepo wa bahari unakuja na vimisamiati rahisi rahisi! Hiiiiiiiiiii.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WanaJF nimeleta huu Uzi tujadili kuhusu tatizo la ajira. Sote tunajua kuna vijana wengi mtaani wanalia ajira , pia tunajua jinsi gani mashule mengi hayana walimu.

Pia mahospitali wataalam hawatoshelezi . Je, Serikali yetu imeshindwa kuajiri ? Au haina imani na wahitimu?

Hebu tujadili kwa pamoja

Sent using Jamii Forums mobile app
Alarm as 2018 KCSE candidates snub 98 university courses
Programmes did not have any placements in what could spell doom for their future
In Summary
  • Six universities affected as students fail to apply for their unpopular courses
  • Kisii University worst hit after students snub four of its programmes
Education CS Prof George Magoha

wadogo zetu wamejiongeza kenya
 
sera ziuchumi za nchiyo huzalisha na kupoteza ajira. serikali ndiyo ya kulaumiwa.
 
Serikali si ndii baba,marekani kila mwezi serikali ina tangaza imecreate ajira kiasi gani, Trump leo katweet kua toka ashike madaraka ametengeneza mamiloonea 700,000.huku kwetu sasa Africa ni taabu.ukiwa na pesa kidogo tu unapakaziwa kesi kibao
 
ilikupasa ujuwe idadi ya wahitimu mashuleni vyuoni je wote wangepata ajira kwenye hayo maeneo uliyo yataja, ajira ni changamoto hata kwa nchi zilizo endelea
Kikubwa tunatakiwa kuwaandaa vijana wetu kisaikojia wajuwe kuwa wanapo hitimu kozi zao changamoto nyingine ni ajira ili watafute namna ya kujiajiri.
Kazi ya serikali ni pamoja na kuhakikisha huduma za jamii na mahitaji muhimu yanapatikana. Hizo huduma za jamii zinafanywa na nguvu kazi ambayo ni watu wanaopaswa kuajiriwa.

Mashuleni, mahospitalini, viwandani, kazi za mikono, maofisini, mashambani, huko kote panahitaji watu!! Ni wajibu wa serikali kuajiri watu ama kuweka mazingira rafiki kwa ajili ya watu kujiajiri na kuzalisha!

Wewe umekaa hapo kibwanyenye unapunga upepo wa bahari unakuja na vimisamiati rahisi rahisi! Hiiiiiiiiiii.....

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Serikali si ndii baba,marekani kila mwezi serikali ina tangaza imecreate ajira kiasi gani, Trump leo katweet kua toka ashike madaraka ametengeneza mamiloonea 700,000.huku kwetu sasa Africa ni taabu.ukiwa na pesa kidogo tu unapakaziwa kesi kibao

Wakoloni ndio walioweza kucreate ajira viwanda ni,mashambani, maofisini na wafanyabiashara. Sie tumeweza kusomesha no tu,ili tupate Furaha
 
Sio hospitali na mashule tu...
Kila sekta hapa nchini ina upungufu wa wataalamu, pamoja na kukosa vipaumbele pia tukumbuke nchi yetu ni maskini, tutaajiri hao watu tutawalipa nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tutake radhi nchi yetu sio maskini, juzi TRA hujaskia makusanyo kwa matrilioni...!! Acha tujenge uchumi kwanza, kwetu SGR na drimulaina ni muhimu kuliko kuzigawa hizo pesa kwa watu..... vumilieni.

Usile Mbegu.
 
ajira serikalini zipo Sanaa tu we ingia ajira portal kila wiki wanatangaza ajira. na ni wengi wameajiriwa serikali awamu hii ya 5. Ila tatizo inakuja kwenye makampuni binafsi( private sector) zinaendelea kupungua taratibu na kunazingine zimeshakufa kutokana na hali ya uchumi ya Tanzania ndio inasababisha watu kuachishwa kazi na ndio sababu ya kuongezeka kwa ukosefu wa ajira...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom