Tatizo kwenye simu yangu ya Huawei G7

ora

JF-Expert Member
May 21, 2016
1,198
1,122
Habari wapendwa....

Simu yangu ya Huawei G7 inatatizo week sasa, haiwaki ukichaji inawasha Sensor tu kuashiria inachaji lakini ukiiwasha inaandika tu huawei ascend inakaa hivyo hivyo mpaka chaji iishe ndio inajizima.

wakuu kwa anayefahamu nipeni japo mwangaza nijue pa kuanzia
 
Back
Top Bottom