tatizo kwenye kulog in tcu

ricky eliud

Member
Dec 21, 2012
15
1
ndugu wana jamii mimi mwenzenu nimepata tatizo, nimeshajirejista tcu ila kulog in inafeli, hata vyuo sijachagua, tafadhali naombeni msaada wenu nifanye nini! muda unaniishia. please nisaidieni
 
ndugu wana jamii mimi mwenzenu nimepata tatizo, nimeshajirejista tcu ila kulog in inafeli, hata vyuo sijachagua, tafadhali naombeni msaada wenu nifanye nini! muda unaniishia. please nisaidieni

nahc mtandao utakuwa busy coz hta mm inakataa ku log in wakat nina account tayar, shida yangu ni kubadili kozi
 
Angalien ujumbe unaokuja, kama umekosea password halafu wekeni nijue niwasaidiaje. Kuhusu vocha haina haja labda uje ujumbe kuwa hawaitambui hiyo vocha. Weken ujumbe unaokuja ukitaka ku log in
 
Back
Top Bottom