Mzee Mzima
Senior Member
- Mar 31, 2008
- 159
- 47
naangalia taarifa ya habari, mama salma anampokea malkia wa uholanzi, yeye mwenyewe mama salma anawaambia watu waliojipanga kusogea ili malkia asitoke kwenye red capert.
so watu wa protocol walikuwa wapi mama salma afanye kazi yao?
so watu wa protocol walikuwa wapi mama salma afanye kazi yao?