Tatizo kuu linaloisibu tanzania ya sasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tatizo kuu linaloisibu tanzania ya sasa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Dangire, Jun 18, 2012.

 1. Dangire

  Dangire JF-Expert Member

  #1
  Jun 18, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 209
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wajameni, katika kutafakari kwangu sijaona tatizo lililo kubwa zaidi kwa sasa zaidi ya CCM a.k.a chama cha magamba/mafisadi/nyinyiem. Mwalimu nyerere alisema maadui wakubwa ni ujinga,maradhi na umasikini. lakini kwa leo tunaona kuwa uwezekano wa kuondoa mataizo haya yote upo.hii ni kwa sababu tz tuna kila rasilimali ambazo zingetuwezesha kuwaondoa 'maadui' hao hapo juu. lakini sasa ni miaka zaidi ya 50 tz ikiwa 'huru' na bado tumeshindwa kupambana na maadui hao.

  Hivyo basi, kati ya maadui wote tulionao kama nchi, CCM ndiye ADUI NAMBA MOJA. hii ni kwa sababu ndiyo iliyotufanya tufikie hapa (pa hovyo) tulipo. imeshindwa kuleta maendeleo yaliyotarajiwa baada ya miaka 50, inatudharau wananchi, inatunyonya, inatukebehi,inatuona ni mazuzu n.k.

  WITO WANGU: CCM HAIKUBALIKI.TUSHIRIKIANE KUITOKOMEZA.
   
 2. Annael

  Annael JF-Expert Member

  #2
  Jun 18, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 13,298
  Likes Received: 10,333
  Trophy Points: 280
  Wewe utabaki kulaumu tu wenzio wanachapa kazi.
  Kwanza wewe ndio tatizo la tanzania.
   
Loading...