Tatizo kubwa tunaomba mungu atupe mke/mume badala ya mume/mke mwema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tatizo kubwa tunaomba mungu atupe mke/mume badala ya mume/mke mwema

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Sep 24, 2012.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Sep 24, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,613
  Likes Received: 5,782
  Trophy Points: 280
  Unajua hata paka wanaoana ila auwezi kujua huyu ni wanani mpaka wao wenyewe
  tunapofikia swala la kuoana imekuwa ni kama nyimbo hivi sasa na ndio maana
  sishangai kusikia mtoto mdogo anamwoa jimamaa hilooo yaaha ndio wamependana
  mwaya utawafanyaje

  sasa basi ni vyema kama ujaingia kwenye hiki kitanzi kuwa makini...anyway sijui pengine\
  mwenzangu uliletewa na shangazi ila wewe ulie bado jitahdi u avoid hizi hisia za
  shangazi mjomba mama baba ...wao walipendana na wana ndoa zao usikubali kuwa mtumwa
  wakuletee mwanamke wa kuoa kwani wewe huna macho

  si hivyo tu tunatoa ushauri wa bure bila malipo ila ukipenda malipo katoe zaka kanisani
  kama bado ujaoa na una mawazo haya chukua muda mwombe mungu wako akupe mume/mke mwema
  kutoka kwa mungu ..aijalishi ni wa namna gani ila ni vizuri umwambie mungu napenda awe mnene
  kama ...awe ana tabia a-d asizidishe upole kwa watu na mengine mengi tu nasema hivi kwa kuwa
  kuna ndoa zingine wanawake wana huruma kupitiliza na kufikia kuhurumia hata mashemeji zao
  na kufanya ndoa kuwa ngumu

  mlilie mungu wako naomba hili tusisitiz sana sana hasa wale ambao awajajeruhiwa... Ni vigumu
  kuanza mashambulizi upya baada ya kujeruhiwa lakini ni rahisi kujilinda na kujiweka sawa hata
  adui akija ujue wapi pa kutokea nakutakia andoa njema ewe uliepaata mwenzio toka kwa mungu

  mbarikiwe
   
 2. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #2
  Sep 24, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  pdidy nasikia wewe ni mzee wa kanisa kwa mama nanihii:amen:
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Sep 24, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,613
  Likes Received: 5,782
  Trophy Points: 280
  HAAAHAAAA SMILE USIWE NA SHAKA HATA WEWE UKIJIPANGA VIZURI KANISA LAKO NAWEZA KUA TTEND PARTTIME UKAFURAHIA HUDUMA YANGU HILI HALI KUNIHAKIKISHIA WATOTO WANAENDA CHOONI
  teeheteehhh
   
 4. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #4
  Sep 24, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  aisee kumbe unakula sadaka za kondoo kule
   
 5. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #5
  Sep 24, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,176
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  kwani ndoa ni kitanzi?
   
 6. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #6
  Sep 24, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,613
  Likes Received: 5,782
  Trophy Points: 280
  Haahaa smile bwana
  leteni zaka madhabahuni ..s.asa mdhabahuni si wachungaji na wazee wa kanisa mpendwa ndio maana malaki anasema ukipeleka zaka na sadaka kanisani usiangalie zimefanya nini angalia umepata nini kupitia sadaka zile ..karibu mpendwa
   
 7. by default

  by default JF-Expert Member

  #7
  Sep 24, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mkuu umeongea point jana church ninaposali mchungaji alizungumzia swala la ndoa akasema ni jambo linaloitaji umakin sana.akasema mfano MUNGU angetokea aseme anatoa masaa48 wale ambao wanataka kuvunja ndoa zao na wawe na wa2 wengne wafanye ivyo haraka anasema 95% ya ndoa zingevunjika.jana jion 2kawa na famly reunion nikawa na sista nikamuhulza mfano apewe ruhusa ya kuvunja ndoa yake au aendlee kuijenga akasema wala asinjejiulza angechomoka fasta.swala la kuhsh na binadamu mwingne ambae ujazaliwa nae ni kaaaz
   
 8. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #8
  Sep 24, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145

  hapa huwa tunamalizia hivi tena mmekutana ukubwani!!!!!
   
 9. V

  Von Mo JF-Expert Member

  #9
  Sep 24, 2012
  Joined: May 7, 2012
  Messages: 1,830
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  me i like JF kwani kila siku kwangu ni siku ya kujifunza
   
Loading...