Tatizo Kiingereza!!!.

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,597
5,788
Nilijiuliza sana, kwanini siku hizi wanafunzi wanahitimu kidato cha nne lakini hawawezi hata kujitambulisha kwa kingereza. Japo hata kwa kutumia simple vocaubulary.
Nilifanya utafiti, nikagundua kuwa tatizo ni waalimu. Somo la kingereza linafundishwa kwa kiswahili. Je hapa mtoto atakuelewa kweli?
Lazma waalimu wabadilike.
 
Sio form four tu mkuu hadi form six teacher alikuwa anapiga pindi kwa kibongo hapo unategemea nini?
 
sasa si kuwe na somo moja tu la kiswahili?utafundishaje lugha moja kwa lugha nyingine?oooh nilishasahau bongo hakuna linaloshindikana
 
hata chuo kikuu tu ni weupe! hao waalimu wenyewe wa sekondari wanatia aibu.akiandikiwa msg na boifrend inabidi aende kwa jirani!
 
Tatizo kwanza kingereza ni foreign lg kwa tz, pili msingi mbovu wa vijana wetu tangu primary ambao unrithishwa kizazi hadi kizazi. Nadhani ni wakat muafaka ss kwa tz kubadili mifumo yke ya utoaji wa elimu, masomo yote isipokuwa kiswahil yangefundishwa kwa english km english medium schools kuanzia ngazi ya primary.
 
Back
Top Bottom