Planner
JF-Expert Member
- Apr 5, 2011
- 348
- 148
Habari wadau,
Kuna jamaa yangu anamiliki Nissan Xtrail (2005) hapa mtaani,leo Asubuhi amewasha gari inawaka bila tatizo,mafuta yako ya kutosha (nusu tank),ila baada ya kuwasha akiweka reverse (R) au D baada ya dakika gari inaanza kama kumiss au kutaka kuzima.Hii inaweza kuwa ni tatizo gani au chanzo chake nini na ufumbuzi wake.
NB: Kwenye dashboard hakuna taa yoyote ya warning,pia kwa mara ya mwisho alilitumia jana na halikua na mushkeli wowote.
Wakuu Mshana jr, lege et al.....Karibuni tumsaidie mdau.
Natanguliza shukrani.