Mwana Kwetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2011
- 652
- 562
- Thread starter
- #21
well that is serious
kwa ufupi huyo mkeo ana tabia za usiri na kufanya mambo yake
mwambie tu ukweli kuwa akiendelea hivyo utashindwa...utatafuta mwingine
Nilishamfukuza huyu wife mara mbili na hayuko tayari kuondoka na kuliko aende kwao ataenda kwa mama yangu kumpigia magoti ili anishawishi nimrudishe . Akiwa kwa mama humwomba mama anipigie simu kuniomba msamaha na anaweza akakaa kwa mama hata siku tatu na huwa inabidi nimheshimu mama yangu basi namkubalia.