Tatizo hili linasababishwa na nini jamani kwasababu limezidi msaada wenu plz!

TUNTEMEKE

JF-Expert Member
Jun 15, 2009
4,587
579
Nnarafiki yangu amekua na tatizo lakusahau kupita maelezo yaani muda mwingine mmeongea hapo haichukui hata muda hakumbuki anasoma sana na vitu anaelewa lkn anasahau kuna watu walimwambia chanzo ni blueband hatuumii kabisa lkn bado msaada kwa mwenye idea na hili
 
mwambie atafune mbegu la mlongi =mbegu 3x3 NB kila mbegu tatu ziambatane na maji lita moja = lita tatu kwa siku.
 
ata picha za utupu (za ngono) zinamfanya mtu kupoteza kumbukumbu hii nimeishuudia myself
 
ugonjwa huo wa kusahau kitaalmu unaitwa alzemia desease.....

anyway ngoja niende kwenye tiba moja kwa moja:

mwambie ale mapera kwa wingi ..mapera ni brain activator, lakini pia mwamie atumei mastafeli walu mja kwa siku....ila mapera asiache ni muhimu sana...ale matango..kwa siku nusu kipande....na kikubwa zaidi akipata tunda la mzeituni atumie...hili ni muhimu na yanaatikana suer market kwa bongo

atumie vitu hivi kwa mwezi mmoja then utanipm ..uipe mrejesho....kama ikiwa bado hajabadilika basi nambie ili twende hatua ya pili

asante
 
'alzemia?' umekosea matamshi, pia ugonjwa nina hakika sio huo unaoufikiria kulingana na umri wa mgonjwa kwa kawaida, na hyo symptom moja. Inahitajika detailed history ya huyo mgonjwa kusaidia kutengeneza diagnosis. Read on DEMENTIA na differentials zake, itakupa mwanga.
 
mkuu nimeamua kuuandika hivyo makusudi kabisa...ila spellingi zake ni ''Alzheimer''...kingine ni kwamba huo ushauri niliompa ni wa mwanzo kabisa na wa kawaida kabisa na rahisi kupatikana......ndio maana nikasema ikishindikana basi itabidi steji ya pili ifate......mara nyingi ugonjw huu unawapata watu wenye umri mkubwa mika 65.......lakini pia hata wenye umri chini ya hapo inawezekana kabisa japo asilimia ni ndogo..
 
Back
Top Bottom