Tatizo gari langu halina nguvu kabisa

Emok Jr

JF-Expert Member
Mar 17, 2018
1,094
795
Habari za muda huu wana jf...

Jaman nahitaji msaada, Nina lorry langu nimenunua mwezi uliopita yan used car[Mitsubishi] kutoka Japan.

Baada ya kununua nikaamua kuongeza urefu was trailer na tairi 4 nyuma, sasa baada kufanya haya manuva ili chombo ibebe mzigo was kutosha badala yake gari haina nguvu kabisa licha ya kuwa na turbo mpya kabisa.Mafundi wamechek engine system iko powa kabisa.

Sasa wakuu naomben ujuzi nifanyeje kutatua tatizo hili??
 
Hiyo turbo ni shida
 
Umeongeza exel na engine inatakiwa ubadirishe uweke kubwa zaidi ya iliyokuwepo kama ni fuso ilikua 6D16 unabadirisha unaweka 6D17
 
Habari za muda huu wana jf...

Jaman nahitaji msaada, Nina lorry langu nimenunua mwezi uliopita yan used car[Mitsubishi] kutoka Japan.

Baada ya kununua nikaamua kuongeza urefu was trailer na tairi 4 nyuma, sasa baada kufanya haya manuva ili chombo ibebe mzigo was kutosha badala yake gari haina nguvu kabisa licha ya kuwa na turbo mpya kabisa.Mafundi wamechek engine system iko powa kabisa.

Sasa wakuu naomben ujuzi nifanyeje kutatua tatizo hili??
Hiyo turbo ni shida
 
Sina ufahamu sana japo najua ulitakiwa ubadili diff Iwe na meno mengi.

Tafuta mafundi waliobobea pale temeke kwa wauza spea, njia panda tandika Sudan.
 
Back
Top Bottom