Tatizo: Ganzi ya meno.


W

Welu

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2011
Messages
838
Likes
110
Points
60
W

Welu

JF-Expert Member
Joined Jul 5, 2011
838 110 60
Wandugu awali sikua na tatizo hilo lakini kwa sasa kwa mfano nikila kipande kidogo tu cha nanasi basi meno yanashikwa ganzi sana. Nisaidieni wandugu dawa ya kutibu tatizo hili. Nimejaribu dawa ya meno sensodyne lakini hakuna mafanikio.!
 
W

Welu

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2011
Messages
838
Likes
110
Points
60
W

Welu

JF-Expert Member
Joined Jul 5, 2011
838 110 60
Jamani ebu toeni msaada! kimya au mpo makazini kwanza
 

Forum statistics

Threads 1,250,628
Members 481,436
Posts 29,739,470