The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,502
- 2,046
- Thread starter
- #41
Kama hukujifunza chochote namna awamu zingine zilivyofanya kazi huwezi kumuelewa vizuri huyu mheshimiwa mkapa angeweza kuweka kapuni hizo taasisi na kuagiza wakuu wa mikoa na wilaya pamoja na wakurugenzi wapambane kukusanya kodi.Mimi namheshimu mno Mkapa.
Binafsi sometimes naona Mkapa probably alikuwa best President ..lakini
Ninachopinga ni kumpa sifa zilizo na uongo..na kusahau pia Mkapa alikuwa na weaknesses za ubabe na kubana vyombo vya habari hivyo na yeye alifaidika na mbinu za kidikteta pia..
Mkapa hakuunzisha TRA ..kuna uzi hapa tulijadili kwa kina .
Mkapa pia hakuanzisha TAKUKURU kwa maana ya kuanzisha ..alifanyia mabadiliko
Kikosi cha kuzuia Rushwa.
Ni kweli Mkapa alikuwa na impact kubwa ya kuanzisha taasisi nyingi Ila usisahau hizo taasisi pia zilikuwa na taasisi zingine kabla.
Alichofanya ni kuleta mabadiliko kulingana na wakati na ushauri wa wataalam..
Labda tuseme alisikiliza wataalam.
Au hata kusema kwenye ahadi zangu sikuahidi TRA.