Tathmini yangu fupi ya utendaji wa Marais wetu; Inaonesha Mkapa alikuwa Rais wa daraja la juu sana

Mimi namheshimu mno Mkapa.

Binafsi sometimes naona Mkapa probably alikuwa best President ..lakini
Ninachopinga ni kumpa sifa zilizo na uongo..na kusahau pia Mkapa alikuwa na weaknesses za ubabe na kubana vyombo vya habari hivyo na yeye alifaidika na mbinu za kidikteta pia..

Mkapa hakuunzisha TRA ..kuna uzi hapa tulijadili kwa kina .

Mkapa pia hakuanzisha TAKUKURU kwa maana ya kuanzisha ..alifanyia mabadiliko
Kikosi cha kuzuia Rushwa.

Ni kweli Mkapa alikuwa na impact kubwa ya kuanzisha taasisi nyingi Ila usisahau hizo taasisi pia zilikuwa na taasisi zingine kabla.

Alichofanya ni kuleta mabadiliko kulingana na wakati na ushauri wa wataalam..
Labda tuseme alisikiliza wataalam.
Kama hukujifunza chochote namna awamu zingine zilivyofanya kazi huwezi kumuelewa vizuri huyu mheshimiwa mkapa angeweza kuweka kapuni hizo taasisi na kuagiza wakuu wa mikoa na wilaya pamoja na wakurugenzi wapambane kukusanya kodi.
Au hata kusema kwenye ahadi zangu sikuahidi TRA.
 
Nyerere alikuwa msomi pia wa ngazi ya Mwanafalsafa wa kimataifa.
Vitabu vya Nyerere vina soko China kuliko Tz. China imeamua kuwekeza kwenye mawazo ya Mwl. Nyerere na Ujamaa wa Kitanzania/wa Nyerere. Wametafsiri vitabu vya Mwl kwenye lugha ya Kichina hivyo vinasomwa kama moto wa nyika na ikumbukwe Wachina ni 18% ya watu wote wa dunia ikiwa na watu 1.4 bl hivyo soko la vitabu hivyo ni kubwa mno China ukiongeza na sehemu zingine zinakosomwa duniani, mapato ya vitabu hivyo yanatosha kukarimu familia ya Mwl.

Mwl aliandika pia juu ya Political Economy ambayo ni aina ya uchumi ambao unaongelea mahusiano ya chumi za dunia (diplomasia ya uchumi), mawazo yake yamesaidia China kuzivimbia nchi za Magharibi hasa kipindi hiki ambacho dunia inavaa gamba jipya la kuwa kijiji kimoja kinachonufaisha kundi dogo huku kundi kubwa la kijiji hicho likibaki kuomboleza.
Hiki unachokisema wala hakiondoi kwamba mkapa alianzisha taasisi nyingi sana pengine kuliko rais mwingine yeyote hapa nchini
 
Ya Jecha kule Zanzibar vipi?
Nimejaribu kufikiria namna marais wetu wanavyoshughulikia mambo mbalimbali, kila mmoja kwa wakati na kwa namna yake ndipo napata kuelewa kwamba yule makonde alikuwa bonge la genius.

Mkapa aliamini sana katika taasisi hivyo kila changamoto anayoiona alifikiria kuunda taasisi na ndio maana chini yake aliunda taasisi nyingi sana ambazo zinafanya kazi mpaka sasa mf, TRA,TAKUKURU,TANROADS,CAG nk.

Zipo changamoto ambazo kwa namna zinavyotatuliwa sasa hata kama huna akili unajua huu ni utatuzi kwa mfumo wa zimamoto.

Mf ishu kama za upungufu wa madawati ujenzi wa madarasa unaopigiwa debe kwa sasa unaweza ukadhani tatizo litaisha ila kwa kuwa hatujayaweka kitaasisi utasikia baada ya miaka miwili tunaambiwa kuna upungufu wa madawati na madarasa.
 
Hiki unachokisema wala hakiondoi kwamba mkapa alianzisha taasisi nyingi sana pengine kuliko rais mwingine yeyote hapa nchini
Rais Big Ben (Mkapa) alijenga viwanda vingapi dhidi ya alivyojenga Mwl Nyerere?
Mwl Nyerere aliacha taasisi (mashirika ya umma) 300 aliyoanzisha tangu Azimio la Arusha 1967 na Uhuru 1961, Rais Mwinyi akayalea na kumkabidhi Rais Big Ben, je katika hizo 300 Rais Big Ben alimkabidhi Rais JK taasisi/mashirika ya umma mangapi? (yale yaliyobinafsishwa na Rais Big Ben yalikuwa ni nini?)

Mwl Nyerere:
1. SADC
2. FRONTLINE STATES
3. NON ALIGNED MOVEMENT
4. SOUTH SOUTH COMMISSION
5. LIBERATION COMMISSION OF THE OAU (Headquartered in Tz)
6. RESTRUCTURING OF THE COMMONWEALTH BY FORCING REMOVAL OF SOUTH AFRICA DUE TO APARTHEID (Who had those guts?)
7. RESTRUCTURING OF UN VETO POWERS BY FORCING NOMINATION OF CHINA AS THE 5th MEMBER OF VETO POWERS (Who had those guts?)
8. CHAMPIONING THE FIRST EAC
9. CHAMPIONING FORMATION OF OAU
10. FORMATION OF UNION BTN TANGANYIKA AND ZNZ
11. ESTABLISHMENT OF OVER TEN BOARDS OF CASH CROPS THAT DID WELL IN WORLD MARKET NICHE (Coffee, Sisal, Cashew, Cotton, Pyrethrum, Sugar, Palm, Tobacco, Grapes and whatnot?)
12. ANTI CORRUPTION SQUAD (Waziri Fundikira alichapwa viboko kwa rushwa)
13. NATIONAL ELECTORAL COMMISSION
14. CIVIL SERVICE COMMISSION
15. TEACHERS SERVICE COMMISSION
16. JUDICIARY SERVICE COMMISSION
17. JUWATA (TRADE UNION)
18. MEDICAL BOARD OF TZ

Kwa uchache Mashirika ya Umma ya Kimkakati kati ya hayo 300 aliyoanzisha Mwl:
19. POSTA
20. TACOSHILI
21. ATC
22. KAMATA
23. UDA
24. TAZARA
25. TIPPER
26. TAZAMA
27. TANESCO
28. TRC
29. UNIVERSITIES (UDSM, SOKOINE, MZUMBE)
30. MUCHS its origin dates back to 1963 when it was first established as Dar es Salaam Medical School.
31. TAFIRI
32. TPA (THA)
33. STAMICO
34. NHC
35. MSAJILI WA MAJUMBA
63. NIC

OMG! My fingers are blistered yet the list is still long, who can continue the list for me?
 
Kwahiyo iundwe taasisi ya Madawati
Baadae iundwe taasisi ya Madarasa
Hatimae iundwe taasisi ya Upungufu wa Chaki
Sasa mkuu baadae itaundwa taasisi ya taasisi zilizoundwa
Unaweza kujaza utitiri wa taasisi lakini zikawa hazina impact hata kidogo. Jambo la maana je hizo zilizopo zina credibility inayostahili? Utitiri wa taasisi bila mipango mizuri ni kupoteza muda na resources
 
Umeandika non sense. Jpm alikuja ku enforce taasis na sheria zilizopo. Lakin hakuazisha taasisi yoyote. And for the record he is not the best
Nakuheshimu Sana Detective J.
Nuanga mkono majibu yako.
Jiwe hakuwa bora.
Rais bora ni yule tu anaeheshimu na kufuata Sheria.
Jiwe hakuafuata Sheria kabisa ,hakuheshimu katiba kabisa ,aliendesha nchi kwa kufuata matakwa yake tu.
Aliharibu mifumo mingi Sana ya kiutendaji.
Hebu fikiria
Uchaguzi wa serikali za mitaa,
Uchaguzi Mkuu,
Bunge live na heshima ya Bunge,
Hebu fikiria Mahakama kwa sasa,
Hebu fikiria vyombo vya habari,
Hebu wafikirie Makonda,Sabaya na wengine kama hao,
Hebu wafikirie wawekezaji na wafanya biashara enzi za Jiwe,
Hebu fikiria wafanyakazi enzi za Jiwe,
Hebe wafikirie wakulima hasa wa korosho enzi zake Jiwe.
Hebu fikiria wanafunzi wa loans board,
Fananisha marais wote waliopita na Jiwe jinsi gani walivyoyatreat makundi hayo niliyoyataja.
 
Rais Big Ben (Mkapa) alijenga viwanda vingapi dhidi ya alivyojenga Mwl Nyerere?
Mwl Nyerere aliacha taasisi (mashirika ya umma) 300 aliyoanzisha tangu Azimio la Arusha 1967 na Uhuru 1961, Rais Mwinyi akayalea na kumkabidhi Rais Big Ben, je katika hizo 300 Rais Big Ben alimkabidhi Rais JK taasisi/mashirika ya umma mangapi? (yale yaliyobinafsishwa na Rais Big Ben yalikuwa ni nini?)

Mwl Nyerere:
1. SADC
2. FRONTLINE STATES
3. NON ALIGNED MOVEMENT
4. SOUTH SOUTH COMMISSION
5. LIBERATION COMMISSION OF THE OAU (Headquartered in Tz)
6. RESTRUCTURING OF THE COMMONWEALTH BY FORCING REMOVAL OF SOUTH AFRICA DUE TO APARTHEID (Who had those guts?)
7. RESTRUCTURING OF UN VETO POWERS BY FORCING NOMINATION OF CHINA AS THE 5th MEMBER OF VETO POWERS (Who had those guts?)
8. CHAMPIONING THE FIRST EAC
9. CHAMPIONING FORMATION OF OAU
10. FORMATION OF UNION BTN TANGANYIKA AND ZNZ
11. ESTABLISHMENT OF OVER TEN BOARDS OF CASH CROPS THAT DID WELL IN WORLD MARKET NICHE (Coffee, Sisal, Cashew, Cotton, Pyrethrum, Sugar, Palm, Tobacco, Grapes and whatnot?)
12. ANTI CORRUPTION SQUAD (Waziri Fundikira alichapwa viboko kwa rushwa)
13. NATIONAL ELECTORAL COMMISSION
14. CIVIL SERVICE COMMISSION
15. TEACHERS SERVICE COMMISSION
16. JUDICIARY SERVICE COMMISSION
17. JUWATA (TRADE UNION)
18. MEDICAL BOARD OF TZ

Kwa uchache Mashirika ya Umma ya Kimkakati kati ya hayo 300 aliyoanzisha Mwl:
19. POSTA
20. TACOSHILI
21. ATC
22. KAMATA
23. UDA
24. TAZARA
25. TIPPER
26. TAZAMA
27. TANESCO
28. TRC
29. UNIVERSITIES (UDSM, SOKOINE, MZUMBE)
30. MUCHS its origin dates back to 1963 when it was first established as Dar es Salaam Medical School.
31. TAFIRI
32. TPA (THA)
33. STAMICO
34. NHC
35. MSAJILI WA MAJUMBA
63. NIC

OMG! My fingers are blistered yet the list is still long, who can continue the list for me?
Very nice .
In addition to that.
Very strong Army TPDF.

State security .

Kiwanda cha kimkakati cha magari NYUMBU
 
64. He was a sharp brain behind PAN-AFRICANISM and PAFMECA.

65. He forced Morocco out of OAU for invading West Sahara and he helped POLISARIO carry its agenda high and far.

66. After retirement when mediating Burundi, he reprimanded Buyoya not to fly Burundi Presidential flag on his jet and motorcade for he was not yet the democratic president until mediation is done, short of that he told him "you will land in Tz prisons" thereafter Buyoya was not seen in as a president when in Tz land, sometimes he summoned Buyoya for mediation in Msasani home.

67. He dismantled the African Dictators Club.
 
Mimi namheshimu mno Mkapa.

Binafsi sometimes naona Mkapa probably alikuwa best President ..lakini
Ninachopinga ni kumpa sifa zilizo na uongo..na kusahau pia Mkapa alikuwa na weaknesses za ubabe na kubana vyombo vya habari hivyo na yeye alifaidika na mbinu za kidikteta pia..

Mkapa hakuunzisha TRA ..kuna uzi hapa tulijadili kwa kina .

Mkapa pia hakuanzisha TAKUKURU kwa maana ya kuanzisha ..alifanyia mabadiliko
Kikosi cha kuzuia Rushwa.

Ni kweli Mkapa alikuwa na impact kubwa ya kuanzisha taasisi nyingi Ila usisahau hizo taasisi pia zilikuwa na taasisi zingine kabla.

Alichofanya ni kuleta mabadiliko kulingana na wakati na ushauri wa wataalam..
Labda tuseme alisikiliza wataalam.
TRA iliianzishwa 1998 chini ya utawala wake, kufuatia tume ya Warioba.....Uhuru wa habari ulikuwepo, ila hakupenda waandishi wasiozingatia viwango...Kumbuka yeye mwenyewe akikuwa mwandishi
 
Nimejaribu kufikiria namna marais wetu wanavyoshughulikia mambo mbalimbali, kila mmoja kwa wakati na kwa namna yake ndipo napata kuelewa kwamba yule makonde alikuwa bonge la genius.

Mkapa aliamini sana katika taasisi hivyo kila changamoto anayoiona alifikiria kuunda taasisi na ndio maana chini yake aliunda taasisi nyingi sana ambazo zinafanya kazi mpaka sasa mf, TRA,TAKUKURU,TANROADS,CAG nk.

Zipo changamoto ambazo kwa namna zinavyotatuliwa sasa hata kama huna akili unajua huu ni utatuzi kwa mfumo wa zimamoto.

Mf ishu kama za upungufu wa madawati ujenzi wa madarasa unaopigiwa debe kwa sasa unaweza ukadhani tatizo litaisha ila kwa kuwa hatujayaweka kitaasisi utasikia baada ya miaka miwili tunaambiwa kuna upungufu wa madawati na madarasa.
Mkapa ndio rais wa kwanza kufanya biashara akiwa Ikulu, alianzisha benki. Na ndie aliyesababisha mgao wa umeme na makaburu wa NetGroup. Na Mkapa ndio rais wa kwanza kuisababishia Tanzania izalishe wakimbizi Zanzibar kufuatia mauaji yaliyotokana na CCM kuiba kura za Maalim Seif mwaka 2001.

Vijana mliozaliwa kizazi cha ubuyu na kubeti hamyafahamu haya.
 
Back
Top Bottom