TATHMINI YAKO KWA BARAZA LA MAWAZIRI

UWOGA=UMASKINI

JF-Expert Member
Dec 30, 2013
2,397
1,011
Tuweke siasa pembeni hebu tuzungumzie unaonaje utendaji wa baraza LA mawaziri litendavyo kazi Mimi naona maagizo mengi sana ambayo yanaweza kushusha utendaji au ufanisi wa kazi either kwa kufanya kazi kwa hofu or kutetemeka unapofanya kazi kazi usijetofolewa.
 
Lacking mission and vision
 
Na maziara ya kipuuzi mfano umeme ni wa mashakamashaka viongozi badala ya kushughulikia hili tatizo wao ni maziara tu ili wauze sura na kupata kiki shame wizara ya nishati na madini.
 
Lacking mission and vision
Naona bora kpnd kile jpm yuko mwenyw tu
Sasa hv kila wazir anawaza kufukuza akidhani ndo utendaji mzuri na wanafanya hivi kwa sifa.
Mi nadhani kila wazir akae ktk wizara yake apange mikakat waweke malengo then wasimamie malengo.
Kufukuza mtu ambae hujui alipewa mikakat gani na bosi wake na hujui amekwama wapi ni kutudanganya.
Wapange then wasimamie yake waliyopanga. Mpk sasa sijaona ufanisi nilioutegemea
 
Linaitwa futuhi cabinet wengine sio wabunge ila ni mawaziri dhambi jamani malipo hapa hapa na bado jpm ataomba poo tu subirini
 
Tuweke siasa pembeni hebu tuzungumzie unaonaje utendaji wa baraza LA mawaziri litendavyo kazi Mimi naona maagizo mengi sana ambayo yanaweza kushusha utendaji au ufanisi wa kazi either kwa kufanya kazi kwa hofu or kutetemeka unapofanya kazi kazi usijetofolewa.
too early to judge.
 
Mpaka sasa naona ni kutafuta sifa tu kwenye vyombo vya umma. Huduma muhimu kama umeme, maji nk ni porojo za miaka yote. Kwa jumla uwezo mkubwa wa hili baraza ni kiwango gani unaweza kutia watumishi hofu.
 
Naona bora kpnd kile jpm yuko mwenyw tu
Sasa hv kila wazir anawaza kufukuza akidhani ndo utendaji mzuri na wanafanya hivi kwa sifa.
Mi nadhani kila wazir akae ktk wizara yake apange mikakat waweke malengo then wasimamie malengo.
Kufukuza mtu ambae hujui alipewa mikakat gani na bosi wake na hujui amekwama wapi ni kutudanganya.
Wapange then wasimamie yake waliyopanga. Mpk sasa sijaona ufanisi nilioutegemea
Kila MMOJA anatakaa afukuze sidhani kama itasaidia sana
 
Back
Top Bottom