Tathmini ya Watanganyika na Tanganyika kati ya mwaka 1400 hadi 1945

Mkuu ebu define 'dark continent' nasema sikubaliani na hili neno, kama wewe unakubali sawa iwe wewe na mnaotaka muitwe hivyo

eb nieleze maana ya dark continent!

Africa is a dark continent because of the fact that not much of its pre-slavery and pre-colonialism history is documented. Dark continent comes from the saying 'in the dark' meaning not knowing about something. This is besides, of course, the fact that most of its inhabitants are of dark complexion.
 
Mbona nishakueleza hapo juu kwamba wakati Caesar anavuka the Rubicon miaka 49 kabla ya kuzaliwa Yesu, watu wanajua kwamba the exact words aliyosema ni kwamba "The Dice is cast", lakini sisi waafrika tunajua - no doubt kwa kusaidiwa na wamagharibi- about the same time wabantu walikuwa wanatoka Nigeria kaskazini na Cameroon ya kusini lakini hata hatujui kama kulikuwa na political units na kama zilikuwapo zilikuwa zipi na kiongozi alikuwa nani na alisema nini?

Ni simply about details, Africa ni continent la no data available, especially ukiongelea historia (some aspects mpaka leo).

Sasa nikiwa nasoma historia za warumi na wagiriki kabla yao, naona wanaongelea miaka 2000 iliyopita kama jana tu, kwa sababu wana records.Sisi tukiongelea miaka 100 tu iliyopita, historia za kina Mkwawa, tunaongelea in generalities.Hivi kuna mtu ana any direct quote ya Mkwawa? Hii ni miaka roughly 100 tu iliyopita, lakini hatujui Mkwawa alisema nini.Wenzetu wana record za maneno aliyosema Caesar more than 2,000 years ago.

Mtu akiliita Africa "Dark Continent" (of course Sub Saharan Africa, Egypt and Carthage is richly documented) in this aspect, kwamba labda lina a lot of rich history ambayo imekuwa forever lost, utakataa?

Hii thread yenyewe ni testament kwamba Africa is a Dark Continent in this aspect at least.

I am an African, a proud one at that (ndiyo maana sikubaliani na OPP anaposema "Waafrika ndivyo tulivyo") lakini my sense of realism inaniambia uzalendo una mwisho, kuna kitu kinaitwa ukweli, na no mater how much you may want things to be different, the truth is the truth.

Afrika kusini kwa Sahara kukosa maandishi kumetulostisha, hili halipingiki. Na pia kuwa na neema amabayo imetupa nchi kubwa isiyo na watu ambayo kwa miaka nenda rudi watu wame subsize kama hunter gatherers imetulostisha.

Africa is a dark continent because of the fact that not much of its pre-slavery and pre-colonialism history is documented. Dark continent comes from the saying 'in the dark' meaning not knowing about something. This is besides, of course, the fact that most of its inhabitants are of dark complexion.

Well,

1. Akina nani waliliita dark continent ni waafrika wenyewe, wazungu, au mkutano wa wazungu na waafrika walikubaliana kuliita dark continent?

2. Ni katika timeline ipi ambayo kama habari za bara fulani hazifahamiki basi linaitwa dark continent, na je zikiisha fahamika neno dark continent linaisha? mathalan Columbus wanasema 'aligundua' bara la america 1492, kama halikujulikana huko kwao ulaya kwa nini hawakuliita dark continent?

3. Ni lini kulikuwa na mkutano wa kudunia ulioestablish standard na kukubaliana kuwa bara lolote ambalo habari zake hazijaandikwa au kujulikana tutaliita dark continent? today we know we know some standard kama meter, mm, cm, japo bado wengine wanatumia ft, inch n.k, who, and when was decided that africa is dark continent simply because we dont know much about africa? where this standard established?

4. Is not the same abuse of so called britain people mentioning that Columbus discovered america in 1492 while Indian where there thousands years before? is not the very same lie mentioning Columbus while Amerigo Vaspucci arrived there far long before Columbus, na ndio walikochukua jina la america?

Or is it not the same reproach that Johannes Rebmann discovered Kilimanjaro in 1848! while our forefathers was living there??

so nisipojua habari za jirani, au makabila fulani basi niite dark tribes!!!!

This to me was insulting and disrespectful, however simlazimishi yeyote anayetaka kuitwa hivyo aitwe ila wako wachache tunaona it was not right! The bible which you call old book is mentioning Africa several times, Jewish was slave for 400yrs in Africa, Jesus when he came and lived in Africa, Queen that paid visit to King Solomon was from Africa! Indias and Arab have been in africa long beore whites, and they never mentioned us as Dark continent!

mbona hakuna misemo mingine iliyosifia uzuri wa bara letu?

mimi nililiacha hii habari ya dark continent primary
 
Nikichukua mfano, je Wanyakyusa, Wamatengo, Wanyiramba, Wachaga, Waha, Wazigua, Wakurya, Wahaya, Wamakua, Wazaramo, Wafipa na kabila nyingin nyingi, je zilikuwa katika mfumo na muundo gani wa kimaisha kabla ya kuingiliana na mifumo ya kieni na hata baada ya kuingiliana na mifumo ya kigeni iwe ni Waarabu, Wagiriki, Waajemi, Wahindi, Wareno hata Waingereza?Chang!

Mkuu baba, Mzee Rev Kishoka,
Nakubaliana sana na hoja yako ambayo ni ya msingi sana,Pamoja na kwamba mimi si mwanahistoria lakini hakuna historia ya kweli juu ya nchi yetu, na ndiyo maana wanapotafiti historia ya kiswahili huusisha sana na ustaarabu wa kiarabu na na falme kama ya kilwa na Nyingine za Pwani.
Chiefdoms zilitengenezwa na wakoloni. Kuwepo kwa himaya za Mkwawa, Isike na n.k , zinaashiria kuwepo kwa mfumo wa kisiasa kabla ya ukoloni.

Nikijiangalia kama Mtanzania na nafasi na asili yangu kama Mtanganyika, najiuliza, vizazi 10 kabla yangu vilikuwa ni vya watu wa namna gani? Wawindaji, Wahunzi, Wafanyabiashara, au Wahangaikaji wa mwituni? Je upeo wao wa kujituma kufanya kazi, kufikiri, kujiongoza, kuwajibika, malezi ya familia na mengine mengi yalikuwa yanafananaje kabla ya kukutna na tamaduni hizi ngeni ambazo leo ndio tunajivunia kuwa ndio asili yetu mpya?!

Kuna wakati nilijaribu kutafuta Historia ya Ukoo wangu na kabila kwa jumla nilikuja gundua kuwa my great grandfather alikuwa Warrior mkubwa sana japo hakukuwa na inajulikana alitokea wapi?.Na marehemu baba yangu alikuwa na faili ambayo ilikuwa na historia nzima ya ukoo na kabila , baada ya baba kufariki sikuweza kulipata tena, na bahati mbaya hakuwa na mawazo ya kuandika kitabu kwa hiyo imekuwa ni historia iliyopotea.
 
Historia zote zina mapungufu.Hata za mitume,hata ma free thinkers mpaka ma classic exponents of scholasticism et al,manake huwezi kupata ukweli 100% kwa kusimuliwa au kusoma maandishi ya mwingine.Vinginevyo labda uwe umeishuhudia mwenyewe historia na vilevile unaweza kuipunguza au kuiongeza hivyo kuipotosha wakati unaiwasilisha.Mwandishi kwa kutokujua au kwa makusudi anaweza akaamua kuuficha ukweli au kuweka uongo katika maandiko/simulizi yake.
Kwa mfano katika biblia mtume Paulo inasemekana hajawahi kukutana na Yesu kabla ya kusurubiwa na kufa.Sasa utashangaa akaja anajifanya anamjua Yesu kuwashinda hata waliokuwa karibu nae kama Simon Peter na akafikia hata kuyakemea matendo yao kuwa ni against christ.Je tunaweza kuamini kuwa accounts za Paulo ni za kweli kwa 100%?
Habari za Socrates unaambiwa utazipata kwa Plato na Aristotle.Tutaamini vipi kama walioyasema/andika Plato na Aristotle ni exactly the same alichokisema Socrates?
Haya wanakwambia ma dialogue ya kina Plato na Aristotle yalipotea baada ya collapse ya Roman empire.Yakaja kupatikana kwa kina Avicenna.Tutaamini vipi kwamba yaliyopatikana ni yaleyale ya kina Plato hayajapunguzwa wala kuongezwa?
Hivyo kuanza kutafuta babu yako mzaa babu yako mzaa babu yako mzaa babu yako aliishi vipi ni kujidanganya tu.Hakuna atakayekupa ukweli hata kama kutakuwa na maandishi.
 
Well,

1. Akina nani waliliita dark continent ni waafrika wenyewe, wazungu, au mkutano wa wazungu na waafrika walikubaliana kuliita dark continent?

2. Ni katika timeline ipi ambayo kama habari za bara fulani hazifahamiki basi linaitwa dark continent, na je zikiisha fahamika neno dark continent linaisha? mathalan Columbus wanasema 'aligundua' bara la america 1492, kama halikujulikana huko kwao ulaya kwa nini hawakuliita dark continent?

3. Ni lini kulikuwa na mkutano wa kudunia ulioestablish standard na kukubaliana kuwa bara lolote ambalo habari zake hazijaandikwa au kujulikana tutaliita dark continent? today we know we know some standard kama meter, mm, cm, japo bado wengine wanatumia ft, inch n.k, who, and when was decided that africa is dark continent simply because we dont know much about africa? where this standard established?

4. Is not the same abuse of so called britain people mentioning that Columbus discovered america in 1492 while Indian where there thousands years before? is not the very same lie mentioning Columbus while Amerigo Vaspucci arrived there far long before Columbus, na ndio walikochukua jina la america?

Or is it not the same reproach that Johannes Rebmann discovered Kilimanjaro in 1848! while our forefathers was living there??

so nisipojua habari za jirani, au makabila fulani basi niite dark tribes!!!!

This to me was insulting and disrespectful, however simlazimishi yeyote anayetaka kuitwa hivyo aitwe ila wako wachache tunaona it was not right! The bible which you call old book is mentioning Africa several times, Jewish was slave for 400yrs in Africa, Jesus when he came and lived in Africa, Queen that paid visit to King Solomon was from Africa! Indias and Arab have been in africa long beore whites, and they never mentioned us as Dark continent!

mbona hakuna misemo mingine iliyosifia uzuri wa bara letu?

mimi nililiacha hii habari ya dark continent primary

Hayo mambo ya dark continent ni msemo tu. Haina maana watu walikaa rasmi na kuipachika Afrika hilo jina kwa kuzingatia vigezo fulani. Kama vile ilivyo kwa 'new world' kwenye Americas, Afrika nayo hivyo hivyo. If you find it to be insulting you have the right to reject it.
 
Dark continent = data not available continent.

Nimekuomb quote ya Mkwwa aliyotoa miaka roughly 100 tu iliyopita, hamna.

Hatuna maandishi yetu. In this aspect ukikataa kwamba Africa ni "Dark Continent" utakuwa unaleta uzalendo tu.

Angalia lineage ya Barack Obama II, upande wa mama yake ulivyokuwa well documented, halafu angalia upande wa baba yake.

Utaona aibu.

Karibu wote waafrika hapa, lakini ukweli lazima tuseme.
 
Hayo mambo ya dark continent ni msemo tu. Haina maana watu walikaa rasmi na kuipachika Afrika hilo jina kwa kuzingatia vigezo fulani. Kama vile ilivyo kwa 'new world' kwenye Americas, Afrika nayo hivyo hivyo. If you find it to be insulting you have the right to reject it.

Omega that was just a challenge my friend so that our thread may be lively. Our continent is beautiful inspite of our level of development, people are happy in Africa than anywhere in this planet
 
Omega that was just a challenge my friend so that our thread may be lively. Our continent is beautiful inspite of our level of development, people are happy in Africa than anywhere in this planet

The happiest people are mostly the poorest with no education. The ones living unexamined lives.

Enough of this sorry happiness. Let's talk prosperity.
 
Case ya dark continent mimi sikubaliani nayo kwa sababu naamini data zilikuwepo. Kulikuwa na watu kwenye makabila yetu yote kazi yao ilikuwa profiling history ya kabila na kuilithisha kwa mwingine atakayechukua nafasi yake, kwa Wahaya ukienda kwenye vijiji vilivyokuwa vinahost bakama utakuta wana historia ya more than 10000 years. Sasa what happened au kwanini haiandikwi hadi leo kuna sababu kubwa mbili hapa nazo ni:-

Wakoloni hasa wazungu walipokuja walihakikisha kila kitu chetu kinakufa na mojawapo ya kuua history ilikuwa kupiga marufuku profilers wote na kuakikisha hakuna historia inaandikwa tena na iliyokuwepo inafutika kabisa, hili alikutokea Africa tu check ancient Iraq and Mexico kwa Mayans haya mataifa yamesahauliwa kabisa kama sio watu wajasiri walioficha scripture zilizopigwa marufuku wasingejulikana kama walikuwepo. Sisi Africa wakoloni waliokuja walikuwa wakali sana kwahiyo tukachoma kila kitu hatukubakiza hata kimoja

Pili ni tabia yetu wenyewe, kudharau vitu vyetu wenyewe, nenda Museums shabani Robert collection zao kwa makabila is nothing kabisa tunajifanya hatukuwahi kuwa na makabila bali tulikuwa na taifa ndio maana hatuwezi pata historia ya nyuma zaidi ya 1945. Kama kweli tunaitaka historia then Government should invest in research kwa kila kabila na kupata historia yake na zipo sio kwamba hazipo bali tunadharau kuwa ilikuwa ni makabila na sasa tunaongerea nchi, tukifanya research kidogo utakuta kwa mfano Tanzania ni nchi ya watu wote wanaoizunguka mfano Rwanda na Burudi zitakuwa part ya Tanzania, Buganda na Bunyoro pia and the like kwani wengi wetu tumetoka nje ya tanzania kwenye miaka 500 iliyopita wenyewe hapa ni Masai tu
 
Ukiambiwa this room is dark maana yake hamna vitu au vitu havionekani kwa sababu ya kiza?

Kusema historia ya Afrika ina ukungu wa kiza haina maana kwamba Afrika haina historia, hasha, watu waliishi na ndiyo maana sisi tupo, lakini haikuwa properly documented, at most utapata oral tradition ambayo iko unreliable.

Mbona serious and roubling issues nilizozieleza hapo juu hatu zi address?

Hivi maandishi yetu Afrika kusini mwa Sahara ni yepi? Hivi tuna direct quotes za machifu wetu kutoka Tanzania ya leo kutoka miaka 200 iliyopita tu?

Kwa nini sehemu ambazo zina maandishi na kuwa na historia ni zile zilizopakana na mabara mengine tu (Ethipopia, Egypt, Carthage, Maghreb etc) ?

Kama issue ni ukoloni na subjugation, mbona hata hao Waingereza walitawaliwa na Warumi, lakini wana historia yenye details going back to B.C.E ?
 
Kiranga na Omega,

Je inawezekana kuwa tunajinyima Historia yetu na kuamini tunaloshindiliwa kooni na Mkoloni kama vile Watumwa wa Kimarekani weusi ambao eti kumbukumbu za zwalikotoka hazijulikani zilipo?

Je ni kampeni maalumu ya kutudumaza kiakili na kijamii (kiutamaduni)?

Hapo ndipo hasa kiini cha yote haya-ili kuendelea kututawala na ku monitor maendeleo yetu.

Kama umewahi kuwa katika international gatherings (workshops, conferences, etc) kuna kitu kimoja huwa kinajitokeza mara nyingi wakati wenzetu wanazungumza mambo yanayofanana na utamaduni wao na historia yao kuanzia kwenye elimu, policies, development programing sisi na hasa Africa mipango yetu na kila kitu chetu kiko hanging... hakishabihiani na utamaduni wala historia yetu na hivyo mara nyingi ni vitu vya kuiga from somewhere na kwavile havina roots na asili yetu hata watoa mada wetu wanashindwa kutetea hoja zao kwa ufasaha na mara nyingi wanaonekana kama vile parots....wamekaririshwa.

Majuzi nilikua naangalia star tv na kulikua na kipindi kuhusu mambo ya mafao na taasisi husika. Kuna bwana mmoja akawa anaelezea kwa ujasiri mambo ambayo wameanza kuya implement ambayo according to yeye hayapo katika dictionary za mambo ya social security. Na akaongezea wenzao wanawashangaa kwa mambo wanayoyafanya maana hayajaandikwa popote. Nilipata somo moja...we have a long way to go mpaka tuwe tumekombolewa kwenye utumwa huu wa kiakili. Badala ya yeye kufikiria historia ya watanzania jinsi ambavyo ilikua ina tatua matatizo ya wajane, yatima na needy kama wazee na watoto na jinsi ilivyokuwa inawalipa watu waliokuwa wanafanya kazi ili aweze kuboresha hayo nakuyaweka katika programme inayoeleweka yeye anaanza kufikiria social security za wazungu na jinsi wanavyofanya...na hapo wakitaka kufanya marekebisho basi utaambiwa tunasubiri consultant (mzungu) amalize kazi yake ili tupeleke mswada bungeni tuupitishe kua sheria. Mswada unapita na hatimae sheria baada ya siku kadhaa...unasikia hii sheria/policy haitekelezeki kama kelele zitakua nyingi. Kama hakuna kelele basi zitakaa hapo vitabuni mpaka siku mtu fulani anataka kufanyiziwa ndo inaibuka huko iliko....mhesimiwa sana kuna hii shiria hapa tunayo na mimi nafikiri hapa huyu mtu kakosa sana na hivyo napendekeza sheria ichukue mkondo wake. Sheria yenyewe ukiiangalia haifanani na huyo mtanzania.....ooh my God!

Something has to be done in our mind sets na hasa elimu yetu ili ku program our thinking iendane na uasilia wetu. Kwa sababu if we do things own our own hao mabwana watakua strangers na ku influence hata ku monitor issue zetu itakuwa highly costy kwao. Kwahivyo if we manage to get out of this trap we are done and development is obvious.

Hata hivyo na mshukuru mchina sana maana anatoa somo kwa wote wanaotaka kujitegemea katika maendeleo ndiyo maana hata chochote unachoweza kuwaza duniani kinapatikana China. Aliamua kukataa hizi manipulations za ustaarabu wa kizungu na kubaki na historia yake na utamaduni wake huku wakikopi kila kitakachoweza kusaidia katika setting ya tamaduni na historia ya watu wake.
 
Nimefanya makusudi kabisa kulenga kipindi hichi cha awali kwa kuwa kama Taifa, tunapaswa kujijua kihistoria na kiutamaduni tunavyojipima tunavyoisi leo hii.

Nilikuwa na Uhuru wa kusema tulete Historia ya Tanganyika tangu mwaka 1884 maka leo hii, na bado tungekutana na majibu yale yale yasiyo na uhakika.

Je ni kitu gani kinatufanya tusiwe na kumbukumbu nzuri au hata kuwa na maandiko ya kueleza ukweli kuhusu sisi kama Watu?

Marehemu Barongo aliandika kitabu cha Mkiki Mkiki wa Uhuru, lakini kama ukienda mashuleni, kila tulichojifunza kilikuwa Mzungu/TANU/CCM oriented na hapakuwa na opposing views kuleta balance.

Kwenye historia yetu ya Ukombozi, kila kitu ni very shallow, tulipoanza self governing kila kitu ni shallow au kinafanywa kwa great secrecy na mara nyingine watu kutishwa wasizungumze na si ajabu ndio maan ampaka leo, kuna uwoga kwa wazee wetu kuandika opposing views zinazopingana na TANU na Nyerere na wengine wanasubiri wafe ndipo maandiko yao yaandikwe.

Leo hii kama jamii mpya, inaniwia vigumu kujielewa kama Mtanzania na kuwaelewa Watanzania wenzangu kuwa msingi wetu ni upi hasa? ni nini kinachotupa msukumo wa kimaisha na kijamii?

Ndio maana nimeuliza je tulikuwa na maisha ya namna gani generation 10-30 zilizopita? je tulikuwa na proper family structure na unity, a sort of leadership, planning, innovation, interelations au tulikuwa wazururaji ambao tulikuwa subject to inferiority na kufanya tunaloambiwa na kila mtu?

Je hata tukija kwenye masuala ya kiimani, tulikuwa na imani za namna gani kabla ya kupewa ukristo na uislamu? Kwa nini ibada na matambiko ya asili tumeyakimbia kama vile ni kitu kibaya mno na haramu baada ya kusikia la Yesu na Muhamad? Kwani tulikuwa tunaabudu mashetani?

Nikirudi mahali tulipo leo hii na unapoona mhangaiko wa kuweko na dira sahihi kama watu na Taifa na kukosekana kwa maadili na mifumo inayoshamiri na kukomaa ya kiuzalishaji mali na kiuongozi, inabidi kufika mahali na kujiuliza; Je Asili yetu ilikuwaje na huku tunakokwenda kutakuwaje?
 
Je ni kitu gani kinatufanya tusiwe na kumbukumbu nzuri au hata kuwa na maandiko ya kueleza ukweli kuhusu sisi kama Watu?

Lol...do you really wanna know? Do you really want me to go in? I bet you don't!

Marehemu Barongo aliandika kitabu cha Mkiki Mkiki wa Uhuru, lakini kama ukienda mashuleni, kila tulichojifunza kilikuwa Mzungu/TANU/CCM oriented na hapakuwa na opposing views kuleta balance.

Rev., history, for the most part is written based on the perspective of who is writing it. That is why you'd be hard pressed to find a balanced perspective or alternative viewpoints about our history as a people.
 
Lol...do you really wanna know? Do you really want me to go in? I bet you don't!

Rev., history, for the most part is written based on the perspective of who is writing it. That is why you'd be hard pressed to find a balanced perspective or alternative viewpoints about our history as a people.

OPP

oyvidn oyvilut!
 
You are one Nutty son of a gun and that is why Reverend loves you!

See, nowadays you got add that 'no homo' after you say you love a guy of the same sex otherwise you run the risk of being misconstrued, if you know what I mean.
 
Well hivi sasa hivi kuna mtu, taasisi au kikundi kinachoandika kwa ufasaha nini kinaendelea nchini mwetu. Maana it is this present that is gonna be the history in some years to come.

Huewezi amini hawa tunaowaita waandishi uchwara, makanjanja ndio watakaokuwa reference in future...............

For example wapi unaweza kupata historia sahihi ya Morogoro town ilikuwaje in 1980?

Zaidi zaidi utapata simulizi tu! Uchaguzi unakuja ths yr lakini unaweza kukuta hakuna hata clip moja ya of just 2005 ikionyesha muungwana akitudanganya na maisha bora kwa kila mtanzania. in previous elections. Atakuja na slogan nyingine and life goes on!!!!
 
Unajua I was thinking of the same thing.

Sasa hivi ni vigumu sana kupata an independent account ya maisha na kazi za Sokoine, na PM Sokoine alikufa 1984.

Almost everything you can get is from magazeti na news outlet za chama na serikali, vitu ambavyo kwa watu wanaojali objectivity tuna matatizo navyo.

Kwa hiyo tatizo si miaka 100 tu, hata miaka 26 tu iliyopita bado tuko pale pale.

Kuna watu wanasema Sokoine alikuwa so pious alikuwa na suti tatu tu. Let's use this as a test, tunaweza ku verify hili kwa maandiko yaliyopo leo? Au Sokoine na Mkwawa wanaingia katika kundi moja as lost to posterity on this account?
 
Back
Top Bottom