Kim Jong Il
Member
- Nov 1, 2010
- 21
- 0
Kuna mtu yoyote anafahamu tumekamata majimbo mangapi tayari tujulishane JAMANI
Mengi sana, zaidi ya 15 so far
Sio 15, ni Musoma mjini, Nyamagana, Arusha Mjini, moshi Mjini, Iringa mjini, Rombo bado utata, sijui Ubungo! So bado Chadema haijafikia hata yale ya CCM waliyopita bila kupingwa. So bado sana.
Issue sio wingi wa majimbo bali ni kwa quality ya wawakilishi. CCM ndio huwa wanazungumzia wingi majimbo lakini utendaji kama unavyoona wananchi wamewapiga chini mawaziri wao!
yaliotangazwa rasmi na tume ni.MEATU, IRINGA MJINI, ARUSHA MJINI, MOSHI MJINI, MUSOMA MJINI, MASWA MAGHARIBI, MASWA MASHARIKI, NYAMAGANA, ILEMERA, HAI, KIGOMA KASIKAZIN, BIHARAMULO, MBEYA MJINI NA MBOZI MASHARIKAKuna mtu yoyote anafahamu tumekamata majimbo mangapi tayari tujulishane JAMANI
Issue sio wingi wa majimbo bali ni kwa quality ya wawakilishi. CCM ndio huwa wanazungumzia wingi majimbo lakini utendaji kama unavyoona wananchi wamewapiga chini mawaziri wao!
Nimekupa Senks Mo-Town, its about quality
Mpendazoe, Tindu Lissu VP?
Sio 15, ni Musoma mjini, Nyamagana, Arusha Mjini, moshi Mjini, Iringa mjini, Rombo bado utata, sijui Ubungo! So bado Chadema haijafikia hata yale ya CCM waliyopita bila kupingwa. So bado sana. Originally posted by Avanti
Inavyoonekana huna data za kutosha,it better to keep silent!!!