Elections 2010 Tathmini ya Ushindi wa CHADEMA

Mengi sana, zaidi ya 15 so far

Sio 15, ni Musoma mjini, Nyamagana, Arusha Mjini, moshi Mjini, Iringa mjini, Rombo bado utata, sijui Ubungo! So bado Chadema haijafikia hata yale ya CCM waliyopita bila kupingwa. So bado sana.
 
Sio 15, ni Musoma mjini, Nyamagana, Arusha Mjini, moshi Mjini, Iringa mjini, Rombo bado utata, sijui Ubungo! So bado Chadema haijafikia hata yale ya CCM waliyopita bila kupingwa. So bado sana.

hadi sasa CHADEMA 18, CUF, 23, NCCR viti 2, na TLP 1, Mafisadi wanajua wenyewe ya kwao.
 
Issue sio wingi wa majimbo bali ni kwa quality ya wawakilishi. CCM ndio huwa wanazungumzia wingi majimbo lakini utendaji kama unavyoona wananchi wamewapiga chini mawaziri wao!
 
Issue sio wingi wa majimbo bali ni kwa quality ya wawakilishi. CCM ndio huwa wanazungumzia wingi majimbo lakini utendaji kama unavyoona wananchi wamewapiga chini mawaziri wao!

kubali tu mumefulia, yule rais wenu nasikia yuko hospitali kwa pressure hongera CUF mmefanya vizuri kwa pesa ndogo kuliko hiki chama cha watu wa kaskazini.

chadema wanashinda mijini tu kwa wafanyabiashara na mafisadi.
 
Mijini ndio kuna watu wengi wenye upeo na kuweza kuchuja zuri na baya....so CHADEMA kushinda mijini ni lazima...ila ni ishara nzuri ya kuanzia na uchaguzi ujao CHADEMA itaongeza wawakilishi wenye sifa zaidi......CCM wanapigiwa kura na watu wa vijijini zaidi ambao CCM wenyewe wamewanyima nafasi ya kujua kinachoendelea duniani kwahiyo wanaenda kuwadanganya kuwa wakichagua chama kingine cha siasa amani na utulivu itatoweka....hatuhitaji amani wala utulivu wakati nchi inakuwa masikini kila kukicha........!!!!
CHADEMA ni moja wa wadau wakubwa wa wananchi wanyonge japokuwa vyama vingne vipo....sitokei kaskazini lakini naikubali CHADEMA kutokana na umakini wa team yake.....!!!LETS DARE FOR CHANGES....!
 
Kuna mtu yoyote anafahamu tumekamata majimbo mangapi tayari tujulishane JAMANI
yaliotangazwa rasmi na tume ni.MEATU, IRINGA MJINI, ARUSHA MJINI, MOSHI MJINI, MUSOMA MJINI, MASWA MAGHARIBI, MASWA MASHARIKI, NYAMAGANA, ILEMERA, HAI, KIGOMA KASIKAZIN, BIHARAMULO, MBEYA MJINI NA MBOZI MASHARIKA
 
Sio 15, ni Musoma mjini, Nyamagana, Arusha Mjini, moshi Mjini, Iringa mjini, Rombo bado utata, sijui Ubungo! So bado Chadema haijafikia hata yale ya CCM waliyopita bila kupingwa. So bado sana. Originally posted by Avanti

Inavyoonekana huna data za kutosha,it better to keep silent!!!
 
Issue sio wingi wa majimbo bali ni kwa quality ya wawakilishi. CCM ndio huwa wanazungumzia wingi majimbo lakini utendaji kama unavyoona wananchi wamewapiga chini mawaziri wao!

Nimekupa Senks Mo-Town, its about quality
 
Sio 15, ni Musoma mjini, Nyamagana, Arusha Mjini, moshi Mjini, Iringa mjini, Rombo bado utata, sijui Ubungo! So bado Chadema haijafikia hata yale ya CCM waliyopita bila kupingwa. So bado sana. Originally posted by Avanti

Inavyoonekana huna data za kutosha,it better to keep silent!!!

Ok, I am quite!
 
Sisi wapenda mabadiliko tumefurahi kwa kupata wabunge makini, na kuwaondoa watu mahafidhina kam hakina marmo, mramba na akina masha. Mungu Ibariki Tanzania , Ibariki Chadema na Dr. Slaa.
 
Back
Top Bottom