Tathmini ya uchaguzi mwaka 2015 baada ya mwaka mmoja kupita. Nini maoni yako ?

zolo

Member
Sep 29, 2014
76
23
Tukumbuka mnamo tarehe 25/10/2015 watanzania tulitumia haki yetu kikatiba kuchagua viongozi wetu kati Makundi matatu nayo ni urais ubunge na udiwani.
Katika uchaguzi huo tulishudia kuwa ni moja ya uchuguzi wa ushindani kuwai kutokea maana tulishuhudia vyama takribani kumi vikijinasibu kwenye ngazi ya urasi Ila tulishuhudia vyama vinavyo unda UKAWA na CCM vikiwa vina mvuto mbele ya hadhila na hiyo yote ilitokana na kusimamisha wagombea wenye haiba na mvuto mbele ya jamii UKAWA walimsimamisha Lowassa Edward huku CCM walimsimamisha Magufuli John.
Tumeshudia mengi baada ya uchaguzi yapo mazuri yapo mabaya

Swali Je unazani rais wa awamu ya 5 John Pombe Magufuli ameimarisha uchumi amedhohofisha uchumi au bado yup pale pale ?
 
MPAKA SASA AMESHAJENGA VIWANDA LUKUKI.....MILION 50 KILA KIJIJI KISHAPATA,KILA MWANAFUNZI ASHAPEWA LAPTOP,ELIMU BURE KUANZIA MSINGI MPAKA CHUO.....AJIRA ZA KUMWAGAA,KUHUSU UCHUMI SOON TUTAZIKARIBIA MAREKANI N'A CHINA...,KUHUSU AFYA HUDUMA BURE MADAWA BWELELE...

OVA
 
Tukumbuka mnamo tarehe 25/10/2015 watanzania tulitumia haki yetu kikatiba kuchagua viongozi wetu kati Makundi matatu nayo ni urais ubunge na udiwani.
Katika uchaguzi huo tulishudia kuwa ni moja ya uchuguzi wa ushindani kuwai kutokea maana tulishuhudia vyama takribani kumi vikijinasibu kwenye ngazi ya urasi Ila tulishuhudia vyama vinavyo unda UKAWA na CCM vikiwa vina mvuto mbele ya hadhila na hiyo yote ilitokana na kusimamisha wagombea wenye haiba na mvuto mbele ya jamii UKAWA walimsimamisha Lowassa Edward huku CCM walimsimamisha Magufuli John.
Tumeshudia mengi baada ya uchaguzi yapo mazuri yapo mabaya

Swali Je unazani rais wa awamu ya 5 John Pombe Magufuli ameimarisha uchumi amedhohofisha uchumi au bado yup pale pale ?

Nampongeza kwa namna ya pekee aliyekuwa mgombea uraisi kwa tiketi ya ukawa bwana Edward Lowassa kwa busara zake za kukubaliana kwa amani na utulivu na dhuluma alizoamini kabisa kwamba alifanyiwa na tume isiyo huru ya uchaguzi! Kwa hali halisi ilivyokuwa kwa wafuasi wake na matokeo ya sasa ya watafiti wanaobainisha kwamba kwa kila watanzania watano, mmoja anaugua maradhi ya ukichaa, kama bwana Lowassa angeamua kukataa matokeo hayo kwa kuingia barabarani sijui nini kingetokea! May be, wengine wetu tungekuwa marehemu sasa au kuwa na vilema vya kudumu; may be, tungekuwa tumepoteza wenzi wetu/watoto/wazazi/ndugu/jamaa/marafiki; may be, may be, may be, .....! Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni!!!
 
Tanzania ya Magufuli ni Tanzania ya viwanda, cha ajabu ni kuwa hakuna hata kiwanda kimoja kimejengwa Sana Sana amezindua kiwanda kilichojengwa na Bakhresa wakati wa Kikwete. Yaani "alipasha kiporo" cha viwanda
 
Amefanikisha kupata ahadi ya uwanja na msikiti mkubwa... Bila shaka ajira zitaongezeka
Pale msikitini sidhani kama masheikh na maimamu wanaajiriwa, labda wataalam watatujuza. Uwanja Ajira Ni kwa watunza pitch. Bora angeomba hizo hela zijenge hospitali kubwa pale Dodoma kungekuwa na guaranteed Ajira kwa madaktari na manesi lakini pia hadi wauza juice kule nje. Hana idea ya namna ya kuongeza ajira
 
Maoni yangu kuwa kuitegemea Tanzania ya viwanda ni sawa na kuisubiri meli airport
 
Tanzania ya Magufuli ni Tanzania ya viwanda, cha ajabu ni kuwa hakuna hata kiwanda kimoja kimejengwa Sana Sana amezindua kiwanda kilichojengwa na Bakhresa wakati wa Kikwete. Yaani "alipasha kiporo" cha viwanda
Mtaambiwa "kuweni wavumilivu nimeanza na uwanja wa kimataifa wa michezo Dodoma kwaajili ya kujenga fursa watu waache kazi ya omba-omba wawekeze kwenye kucheza mpira wa miguu "
 
Pale msikitini sidhani kama masheikh na maimamu wanaajiriwa, labda wataalam watatujuza. Uwanja Ajira Ni kwa watunza pitch. Bora angeomba hizo hela zijenge hospitali kubwa pale Dodoma kungekuwa na guaranteed Ajira kwa madaktari na manesi lakini pia hadi wauza juice kule nje. Hana idea ya namna ya kuongeza ajira
Yes wazo la kujenga hospital ni wazo la maana tena sana, bora hata angejenga hospital ya pili ya milembe watu wa hapo wapate matibabu kwa wakati.

Nadhani ame-foresee kuwa huu uwanja utakuwa unatumika kwenye shuhuli za chama baada ya kumaliza vikao Chimwaga.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom