Tathmini ya haraka: Ni nani mwingine angefanya haya?

koyola

JF-Expert Member
May 20, 2015
2,645
1,748
Tumeona na kushuhudia upotevu wa makontena na mengine kutolipiwa ushuru bandarini

- Flow metres kutofanya kazi,
- Watumishi hewa kuendelea kuibuliwa
- Kutenguliwa baadhi ya viongozi wasiojua wajibu wao,
- Baadhi ya wakubwa kubanwa na sheria,
- Wananchi kuanza kupata huduma ktk maofisi ya umma kwa wakati.
- Kuona muendelezo wa waliodhulumiwa ardhi zao baadhi kuanza kupata haki zao na mengine mengi...

Je, ni nani mwingine angeweza kufanya haya kama Rais Magufuli asingengekuwepo kwa jinsi hali ilipofika?
 
Back
Top Bottom