Tathmini ndogo tu ya ahadi zilizotimizwa tayari na CHADEMA Arusha kupitia kwa G. Lema

Asante kwaushauri wako ila kwasasa ninacho weza kukushauri wewe kwanza acha kumbambikizia Lema ahadi ambazo sizake kwani kujenga barabara nikazi ya mbunge au alimashauri embu kabla hauja andika upupu wako uliza kwanza usijifanye mwelewa kumbe buree kabisaaa mnapenda kufuatilia maisha ya LEMA sana acheni hizo

Acha kuhamaki hakuna anamfutilia Lema maisha yake, kama kaamua kuwa mbunge lazima wananchi wahoji ahadi zake alizoahidi kwa wananchi..

Hivi wewe kuhoji ahadi za JK ni kumfutalia maisha yake?

Tatizo la pro-Chadema JF, kazi yao kusifia tu chochote kinachafanywa na Chadema hata kama ni pumba za mashudu.

Wewe unataka JF wote tuwe mateka wa Chadema?
 
We noma, mbona huna upendo na LEMA kabisa. MLIWAHI KUGOMBANIA MWANAMKE?
 
Safi sana Mh lema hakika wewe ni Mbunge unayejua kazi ulizotumwa na wananchi,tupo pamoja siku zote,tunajua wapo ambao wanaokukatisha tamaa kwa siasa za chuki ila hao wapo kila mahari duniani,we songa mbele epuka hao wanaokukatisha tamaa,pamoja tutashinda vita hi.
 
Acha kuhamaki hakuna anamfutilia Lema maisha yake, kama kaamua kuwa mbunge lazima wananchi wahoji ahadi zake alizoahidi kwa wananchi..

Hivi wewe kuhoji ahadi za JK ni kumfutalia maisha yake?

Tatizo la pro-Chadema JF, kazi yao kusifia tu chochote kinachafanywa na Chadema hata kama ni pumba za mashudu.

Wewe unataka JF wote tuwe mateka wa Chadema?

Mbona haufuatili ahadi za kikwete unafuatilia za Lema au mbunge mwingine wa ccm ila wa chadema unakuna wenge nalo haswa la Lema wewe na ngongo na rejeo acheni ushoga na Lema hakuamua kuwa mbunge bali wananchi wa arusha ndiyo walio amua Lema awe mbunge wao
 
Hivi kusomesha watoto yatima kwenye shule za kata tena kwa kusaidiwa na na wafadhili unaweza kujisifia kweli? Mbona Kafulila anasomesha watoto 300, Vick Kamata anasomesha watoto 400.

Shule za kata kila mtu anaweza kusomesha ada ya mtoto mmoja ni 1500 x 400=600.000 tu

Aise are you serious na unachokiongea!Labda itakuwa ni ada ya shule za kata zilizoko ktk sayari ya Jupter maana ktk dunia yetu hamna kitu kama hicho.
 
Back
Top Bottom