Tathmini: Miezi tisa baada ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 2019

Hakuna kitu kinafanywa na wanaccm kisiwe na kasoro hata siku moja miradi yote imejaa ufisadi CCM ni ile ile ukoo wa panya
 
😃😃😃😃
Punguza hasira.. nenda hata ukaazime za manki.. ili uelewe.. ufurahie.. barabara/Anga.. uchumi wa kati.. oyeeeeee
Lia kabisa na minyoo yako inayokutafuna.. pokea hizi juu💉💉💉💉..

Magufuli 2020💯
Uwezo wako wa kufikiri umefika mwisho? Kipimo cha umbumbumbu juha hapa JF huwa ni kuisengenya ID ya JF ambayo haitokani na ubatizo msikitini wala kanisani, wewe Mbona ID yako ni ya kishamba tena kibwege lakini hatuhangaiki nayo tmekomaa na Hoja, acha ufala wako lete Hoja tusikie? Kama huna hoja endelea kuvuta Bangi hapa gheto kwa cyprian Musiba mpaka wakupe mimba, waachie CCM wenzako twende nao wewe tayari umefeli huna lolote.
 
Majibu wanayafahamu mioyoni mwao ila hadharani watakueleza mambo aliyofanya Rais,mafanikio ya Serikali za Mitaa ndiyo hayo hayo anayosemewa Mh.Magufuli.Hakuna majibu tofauti,wananchi bado wananyanyasika na kubaguliwa kupata huduma muhimu za kijamii kwa sababu ya Itikadi zao na Rushwa iliyokithiri karibu kila kona.Traffic bado wanakusanya faini kubwa kwa wale wasiotoa elfu 2000-5000 za kupigia viatu Brush/Rangi/KIWI kuanzia yule wa barabarani(Torch),OCS,OCD,RPC hadi Juu mgawo unafikishwa ipasavyo.Ukitaka kuamini haya niyasemayo,tembelea Barrier zote Tanzania uangalie magari yanayofikishwa vituoni kwa makosa ya barabarani mengi ni ya ajali ila ubovu na ukiukwaji wa sheria zingine Traffic wanahukumu field huko huko.Hali ipo hivyo kwa sekta zote.
Sasa Watanzania wakikubali tu matokeo kama ya SM katika Uchaguzi huu Mkuu,Tumejiingiza kichinjioni na hivyo hatutakuwa na pa kukimbilia.Hatari ni kubwa kuliko tunavyofikiri.
 
M
Unayandika huku wewe hadi uji wa bure.. CCM wamekunywesha.. ukoo wako wote umesomeshwa nao.. uliongoza wewe.. unayetamani uwe na mwanya wa kuoba fedha tena. tuliza boli.. jibu hoja.. ati kusoma.. 😃😃😃.. ukijua pale nimekusoma wapi.. si utalia kabisaaa.. jibu hoja.. CCM ni BABA LAO.. kwa Magufuli kuiongoza ipo juu..
Mkuu upo serious kwamba huu mwandiko ni wako na uliujifunzia shulen, au ndo elimu ya ngumbaru ambao n mtaji mkubwa kwa ccm?
 
M

Mkuu upo serious kwamba huu mwandiko ni wako na uliujifunzia shulen, au ndo elimu ya ngumbaru ambao n mtaji mkubwa kwa ccm?

Katabu yako nini..humwu banatoa maksi.. tulia tuli.. unanifatilia kama vile.. wewe upo akili kunizidi mimi.. hapa ni Jamiiforums.. bengine tunaburudika tutakavyo.. jifunze fikiri nje ya boksi.. kumbuka hata kwenu.. mupo wengi mulisomeshwa na serikali iliyochini ya chama tawala.. tena ada hamukulipa..

Una lingine?..
 
Magufuli anatumia pesa zake binafsi kuleta maendeleo au anatumia pesa za walipa kodi? Walipa kodi siyo CCM ni watanzania wengi ambao siyo wapenzi wa CCM iweje CCM mnatumia pesa zao kwenye miradi ya kifisadi?
Hongera umeongea point ya ukweli
 
Back
Top Bottom