Tathmini: Mh. Polepole tangu ateuliwe ukuu wa wilaya hana amani kabisa

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,818
5,007
Sina shaka na hili kuwa kwa kila anayemfahmu na aliyemfahamu Polepole kabla ya kuteuliwa kuwa mkuu Wa wilaya mnamo mwaka huu, basi atakubaliana na Mimi kuwa mwenzetu kwa sasa hana amani kabisa ingawa amekabidhiwa cheo kikubwa.

Polepole hakuwa MTU Wa namna alivyo kwa sasa ambapo anaonekana kama kuna kitu hakimpendezi nafsini mwake. Hali hii inaweza kupelekea utendaji hafifu katika nafasi yake.

Wanasaikolojia na wachambuzi wa mambo tusaidieni kudadafua hali inayopelekea mwenzetu kuwa katika aliyonayo kwa sasa
 
Ndugu yangu unapoamua kupost mang'amuzi kama haya eleza ueleweke. Japo sio vyema kumsemea Polepole kwa kuwa amani ya mtu ni nadharia ngumu, nilitegemea useme mwanzo alikuwa na amani kiasi gani (kwa kuonyesha viashiria mujarabu) na sasa imepungua kiasi gani. Japo najua ni majungu, ni muhimu pia unapoamua kuwa mpiga majungu uwe smart na sio porojo. Hebu tubadilike wakuu. We are better than this
 
Sijui ni timing au ni upeo mpana wa kutabiri yajayo, muda sio mrefu yule jamaa aliyekataa nafasi ya uteuzi wa DC (nasikia yuko tigo kanda ya ziwa) ataheshimiwa sana na wapenda ukweli katika maisha na anaishi kwa uhuru zaidi!
 
sina shaka na hili kuwa kwa kila anayemfahmu na aliyemfahamu polopole kabla ya kuteuliwa kuwa mkuu Wa wilaya mnamo mwaka huu, basi atakubaliana na Mimi kuwa mwenzetu kwa sasa hana amani kabisa ingawa amekabidhiwa cheo kikubwa. polepole hakuwa MTU Wa namna alivyo kwa sasa ambapo anaonekana kama kuna kitu hakimpendezi nafsini mwake. hali hii inaweza kupelekea utendaji hafifu katika nafasi yake.
wanasaikolojia na wachambuzi Wa mambo tusaidieni kudadafua hali inayopelekea mwenzetu kuwa katika aliyonayo kwa sasa
Wewe umemuona wapi na wengine tukamwangalie kuthibitisha haya unayoyasema hapa?
 
Hili linaweza kuwa kweli.

Polepole amefungwa na hofu kuu,, hofu ya bosi wake, Hofu inayomfanya asiweze hata kuenenda Tofauti na matakwa ya bosi wake(hata kama kuna manufaa).

Jamaa amekuwa mtekelezaji zaidi kuliko kuongea kama ilivyo awali.

Hata utekelezaji wake wa majukumu huyafanya kwa siri sana, si kama ilivyo awali. Sasa hivi anaogopa sana nyumba ya habari anaogopa kukosolewa kwa anacho kifanya, anaogopa kugeuzwa jipu. Maana itakuwa aibu kuu nayo.
 
sina shaka na hili kuwa kwa kila anayemfahmu na aliyemfahamu polopole kabla ya kuteuliwa kuwa mkuu Wa wilaya mnamo mwaka huu, basi atakubaliana na Mimi kuwa mwenzetu kwa sasa hana amani kabisa ingawa amekabidhiwa cheo kikubwa. polepole hakuwa MTU Wa namna alivyo kwa sasa ambapo anaonekana kama kuna kitu hakimpendezi nafsini mwake. hali hii inaweza kupelekea utendaji hafifu katika nafasi yake.
wanasaikolojia na wachambuzi Wa mambo tusaidieni kudadafua hali inayopelekea mwenzetu kuwa katika aliyonayo kwa sasa
Alizunguka nchi nzima kukemea na kutaka uDC ikiwa ni mzigo kwa Taifa na ni UKADA wa chama alipinga vema LEO dhambi inamtafuna hakika malipo ni hapahapa kabla hujatoboa na hesabu iko palepale.
Kila mtu atatoa hesabu yake huko ahera na malipo yake ni hapahapa nafsi na laana za Watz. zinawaliza wengi.
 
sina shaka na hili kuwa kwa kila anayemfahmu na aliyemfahamu polopole kabla ya kuteuliwa kuwa mkuu Wa wilaya mnamo mwaka huu, basi atakubaliana na Mimi kuwa mwenzetu kwa sasa hana amani kabisa ingawa amekabidhiwa cheo kikubwa. polepole hakuwa MTU Wa namna alivyo kwa sasa ambapo anaonekana kama kuna kitu hakimpendezi nafsini mwake. hali hii inaweza kupelekea utendaji hafifu katika nafasi yake.
wanasaikolojia na wachambuzi Wa mambo tusaidieni kudadafua hali inayopelekea mwenzetu kuwa katika aliyonayo kwa sasa
duhh kama kuna ka ukwel
 
Mwanzoni alikuwa anapiga kelele kwa sababu alikuwa anatafuta ulaji sasa amepata U-DC kelele za nini sasa???
 
Alichosema in sawa ukweli kinachomfanya Mr.Polepole asiwe Na furaha in usaliti wa rasimu ya katiba alioufanya
 
Back
Top Bottom