Tathmini: Matokeo ya Uchaguzi wa Udiwani uliofanyika Februari 9, 2014

Sikutegemea maeneo kama bagamoyo kuanza kuonyesha 'utii' kwa chadema ndani ya mda mfupi kiasi hiki.
Kata ya magomeni CCM imeendelea kupoteza wapiga kura.CCM imelazimisha ushindi kwa kutishia kwa mapanga
 
Mnatuchosha na maneno ya kujifariji. Mnabwgwa mnaishia kubwabwaja tu. Mpaka tunawachoka sasa
 
Mnatuchosha na maneno ya kujifariji. Mnabwgwa mnaishia kubwabwaja tu. Mpaka tunawachoka sasa

hilo wazi mkuu kama 2010 walipata kura 23 na sasa wamepata kura 1900 bila shaka sera zitakuwa zimeeleweka

pia tutambue kuwa kuna maeneo ambao ushindi wao una mashaka kama ndul, bagamoyo etc
 
Makamanda mkumbuke mbali ya kuzidi kuwaonea CCM wao hawajawahi kuchukua kata yetu wala jimbo hata moja wakati sie tukizidi kuwaumiza,hata kama iwe ni kwa kijiji ama kata sisi mtaji unakua siku wakija kushtuka mwana si wao

Pamoja Daima!
 
Wamechukua kata ya Chadema kwenye jimbo la msaliti Zitto. I bet he is happy.
 
Julius mtatiro amenukuliwa jana Star tv akisema bagamoyo hakukuea na uchaguzi bali fujo
 
Sikutegemea maeneo kama bagamoyo kuanza kuonyesha 'utii' kwa chadema ndani ya mda mfupi kiasi hiki.
Kata ya magomeni CCM imeendelea kupoteza wapiga kura.CCM imelazimisha ushindi kwa kutishia kwa mapanga
Bagamoyo ipi unazungumzia? Kenya? Matokeo bado mabichi, ccm imeibuka na ushindi wa kimbunga wa kata 23 zikiwamo 2 za bagamoyo, machadema yamefutwa machozi kwa 03 tena za uchagani
 
hilo wazi mkuu kama 2010 walipata kura 23 na sasa wamepata kura 1900 bila shaka sera zitakuwa zimeeleweka

pia tutambue kuwa kuna maeneo ambao ushindi wao una mashaka kama ndul, bagamoyo etc

you are right, chama sera zinaeleweka
 
Ndg wana jamvi hususan MAKAMANDA ni vyema mkatuweka wazi kuhusu matokeo yote kwa ujumla, simanishi ccm wamepata kata ngapi au cdm tumepata kata ngapi, la hasha! namanisha wingi wa kura kwa kila kata katika mchanganuo wa kila chama shiriki. au mtujuze ki % ili tufanye evaluation kwa chama chetu cdm.
naombeni sana makamanda,
pipooooooooz!
 
makamanda mkumbuke mbali ya kuzidi kuwaonea ccm wao hawajawahi kuchukua kata yetu wala jimbo hata moja wakati sie tukizidi kuwaumiza,hata kama iwe ni kwa kijiji ama kata sisi mtaji unakua siku wakija kushtuka mwana si wao

pamoja daima!
kabisa kamanda wangu
 
Kifupi tu CHADEMA imeshinda kata za mjini zote, CCM imeshinda kata za vijijini zote ,sasa fanya tathimini matokeo kama haya yanakupa icha gani. Pia kwa taarifa yako Kata ya NJOMBE mjini ndio ilikuwa mhimu kuliko kata zote 27 kama Marekani tunaringanisha na Washington DC ni heri ushindwe majimbo yote ya Marikani lakini jimbo la Disrict of Columbia ulichukue, sasa CHADEMA baada ya kushinda jimbo hilo la Washington DC walikesha usiku wa kucha wakisherekea ushindi ilipofika saa saba usiku polisi wa CCM uzalendo uliwashinda wakawapiga mabomu wakatawanyika.
 
Naona mtanange ulikuwa si wakitoto,sasa nimekuwa kwenye mtihani wiki mbili,kesho ndo namaliza,lakini sijajua nani aliongeza kata nani kazidiwa kete.
 
Kwa waliona na takwimu za mchanganuo wa kura ambacho kila chama kimepata na asilimia zake aniwekee hapa tafaadhari .
 
Una haki na imani yako hata kama inakupotosha.ukweli unabaki palepale.CCM ina watu wengi wanayoiunga mkono.sio watu wa kelele nyingi.hivi kweli uliamini watu waliokuja kuangalia chopa wangewapigia kura.elew mwendo ni huu huu 2015

Kama CCM inaamini na kujua hilo kwao sitatizo maana mna resources za kutosha; mbona hamtaki kuiweka tume ya uchaguzi huru?

kwanza ninawasiwasi hata idadi ya wapiga kura si kidogo kihivyo......kwanini kuwe na abrupt change namna hiyo? You did something silly 2010 na mkaamua ku maintain ili msi create suspicions! Yes I said prove it otherwise vinginevyo mmelewe kuwa evil shall never prevail, just a matter of time truth shall reveal itself...
 
Back
Top Bottom