Malata Junior
JF-Expert Member
- Nov 29, 2011
- 3,102
- 2,540
Heshima mbele wakuu.
Tabia ya wabunge wa CCM kuunga mkono kila kitu hata kama hakuna tija na kuleta madhara kwa Taifa iangaliwe kwa hicho la tatu. Kibaya zaidi uungaji huo mkono wa kila kitu hata chenye madhara huambatana na kugonga meza kwa nguvu huku wakipiga mayowe kama wehu kitendo ambacho husababiaha uharibifu katika meza za binge. Utafiti umeonyesha viti ambavyo hukaliwa na wabunge wa CCM bungeni meza zake zimechakaa zaidi ya zile za wabunge wa upinzani kutokana na kugongwa kwa muda mrefu! Ili kuokoa fedha za walipa kodi zinazotumika Mara kwa Mara kutengeneza au kununua meza mpya tathmini ya uharifu huo wa meza za bunge unaofanywa na wabunge wa ccm ufanyike ikiwezekana kanuni za bunge zibadilishwe ili wabunge wawe wanapiga makofi badala ya kugonga meza.