Tathmini fupi ya mkutano mkuu wa CCM

Mtini

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
1,486
2,332
By Malisa GJ,

Katika mkutano mkuu wa CCM wa July 23 uliomchagua Magufuli kuwa Mwenyekiti Mpya niliobserve yafuatayo;

1. Jina "Magufuli" lilitajwa mara 108

2. Neno "Ilani ya Chama" lilitajwa mara 76

3. Neno "Tanzania" lilitajwa mara 31

4. Jina "Kinana" lilitajwa mara 16

5. Jina "Kikwete" lilitajwa mara 23

5. Jina "Nappe" lilitajwa mara 7

6. Jina "Lowassa" lilitajwa mara 504

7. Kati ya wazungumzaji wote waliopewa nafasi ya kuzungumza hakuna hata mmoja ambaye hakumtaja Lowassa.

8. Lowassa alitajwa mara 4 zaidi ya Rais Magufuli ndani ya mkutano huo (yani 504 Lowassa gawanya 108 JPM).

9. Lowassa alitajwa mara 23 zaidi ya Kikwete ndani ya mkutano huo (yani Lowassa 504 gawanya 23 JK)

10. Lowassa alitajwa mara 37 zaidi ya Kinana kwenye mkutano huo (yani Lowassa 504 gawanya 16 Kinana).

#NILICHOJIFUNZA:

1. Lowassa aliye nje ya CCM ana nguvu mara 4 zaidi ndani ya CCM kuliko Mwenyekiti wa sasa wa CCM Ndugu JPM. Ana nguvu mara 23 ndani ya CCM kuliko Mwenyekiti mstaafu wa CCM Ndugu JK. Pia ana nguvu mara 37 ndani ya CCM kuliko Katibu mkuu wa CCM Ndugu Kinana. Hesabu hii CCM wanaweza kushindwa kuielewa maana niliwahi kusema "wanapenda namba lakini hawajui hesabu"

2. Lowassa bado ni agenda kuu ndani ya CCM. CCM bado inaishi na kivuli cha Lowassa na kinawatesa. CCM inamhofia Lowassa, inamuogopa, inashtuka ikimsikia. Ndio maana inamuwaza siku zote. Hakuwepo kwenye mkutano wao lakini ametajwa kuliko mtu yoyote aliyekuwepo kwenye Mkutano huo. Ametajwa kuliko mwenyekiti wa chama, ametajwa kuliko mwenyekiti mstaafu, ametajwa kuliko Katibu Mkuu. Hii ni hofu ya wazi.!

3. Nimegundua Lowassa ni bora maradufu kuliko kiongozi yoyote ndani ya CCM. Kitendo cha kila kiongozi wa CCM kumtaja kinadhihirisha ubora huo. Hata katika mpira, mtangazaji humtaja mchezaji mwenye mpira, sio yule anayezubaa. Mchezaji anayetajwa zaidi ndiye anayemiliki mpira zaidi. Kwa sasa Lowassa ndiye anayemiliki mpira wa siasa za nchi hii. CCM wanajua, Tanzania inajua na dunia inajua.

4. CCM ina kila sababu ya kumhofia Lowassa kwa sababu wajumbe wale walioimba "wana imani nae", ndio haohao waliomchagua Magufuli kuwa Mwenyekiti wao, bila kutoa "remix" kwamba wana imani na mtu gani mwingine. Kwahiyo Lowassa anabaki kuwa bora ndani na nje ya CCM. Kinana anajua, Nappe anajua na dunia inajua.!

Alamsiki,
Malisa G.J
 
Unamatatizo
Haya bana
Linganisha.na wa Cleveland wa Gop Kati ya hc na tr utupe hesabu tuone na huko
 
Huku ni kuchangiwa jamani kushika Ukuta siyo kazi rahisi
 
siku zote huwa nahangazwa na huyu kijana ,anapendaga sana kuwalisha matango pori vijana wenzake na mbaya zaidi nao bla kujua wanaingia mazima katika UWONGO huo,hivi inawezekana vipi aliyennje ya taasisi akaongelewa zaidi?na pia swali la kawiada tu kama ametajwa kwa namna hiyo ametajwa katika muktadha gani au kwa nia gani njema au mbaya kwa jambo zuri au baya? kama ni kwa zuri anaweza kuwa sahihi,lakini kama ni baya kuna walakini kichwani mwa Malisa.

Hilo moja,mbili mkutano wa ccm nadhani ulianza siku mbili kablaya mkutano mkuu wa tarehe 23 je anataka kuuaminisha ulimwengu kuwa katika vikao vya ndani ni Mhe Lowassa aliongelea mwanzo mwisho?

Tatu mkutano wa tarehe 23 ulidumu kwa zaidi ya saa 5 hadi 6 kama sikosei,je Malisa alikuwa na kazi ya kuufuatilia mkutano huo na kunakili kila kinachozungumzwa neno kwa neno na viongozi wa CCM?

Nne je Malisa anapata wapi uthubutu wa kupoteza muda na kuanza kufuatilia mambo ambayo si ya msingi si tu kwa taifa hata yeye binafsi,kwa maana hata kama imekuwa hivyo anavyodai yeye bado sioni tataizo lolote la kiuchumi katika taifa au hata kwa maisha ya mmoja mmoja kuliko tukio kuu la siku ile.

Ifike hatu vijana aiana ya kina malisa ni wa kupuuzwa ,si kila anachoongea huyu jamaa kinakuwa na ukweli hata robi ,nyingine anachanga MIHEMKO yake na kuamua kuudanganya umma waziwazi,
 
Anapowashinda malisa. Ni hichi. Wote munaompingaga hamuwez jenga hoja za kumpinga na huwa hamuweki namba hata moja ilihali yeye kaleta hoja zenye namba. Inabak pasono ataki tu. Bado sana aisee
 
siku zote huwa nahangazwa na huyu kijana ,anapendaga sana kuwalisha matango pori vijana wenzake na mbaya zaidi nao bla kujua wanaingia mazima katika UWONGO huo,hivi inawezekana vipi aliyennje ya taasisi akaongelewa zaidi?na pia swali la kawiada tu kama ametajwa kwa namna hiyo ametajwa katika muktadha gani au kwa nia gani njema au mbaya kwa jambo zuri au baya? kama ni kwa zuri anaweza kuwa sahihi,lakini kama ni baya kuna walakini kichwani mwa Malisa.

Hilo moja,mbili mkutano wa ccm nadhani ulianza siku mbili kablaya mkutano mkuu wa tarehe 23 je anataka kuuaminisha ulimwengu kuwa katika vikao vya ndani ni Mhe Lowassa aliongelea mwanzo mwisho?

Tatu mkutano wa tarehe 23 ulidumu kwa zaidi ya saa 5 hadi 6 kama sikosei,je Malisa alikuwa na kazi ya kuufuatilia mkutano huo na kunakili kila kinachozungumzwa neno kwa neno na viongozi wa CCM?

Nne je Malisa anapata wapi uthubutu wa kupoteza muda na kuanza kufuatilia mambo ambayo si ya msingi si tu kwa taifa hata yeye binafsi,kwa maana hata kama imekuwa hivyo anavyodai yeye bado sioni tataizo lolote la kiuchumi katika taifa au hata kwa maisha ya mmoja mmoja kuliko tukio kuu la siku ile.

Ifike hatu vijana aiana ya kina malisa ni wa kupuuzwa ,si kila anachoongea huyu jamaa kinakuwa na ukweli hata robi ,nyingine anachanga MIHEMKO yake na kuamua kuudanganya umma waziwazi,
Naona amekushika pabaya
 
Wewe bora ukae kimya unajizalilisha.
 
Unapinga hoja yake au unampinga yeye?
 
Dah.... Kamati kuu ya chadema imelitaja jina la ccm na magufuli mara ngapi?
 
Hoja ni kwamba, kwanini mumuongelee Lowasa kwenye mkutano wenu ili hali sio mwanachama wenu?
 
Nafikiri ndipo pointi ya Malisa ilipo. They have to mind their own businesses in their meetings.
 
Umaskini ni kitu cha kujitakia.Mtu badala ya kufanya kazi aingize pesa anakaa anasikiliza hotuba anaanza kuhesabu Lowasa,Kikwete,magufuli nk wametajwa mara ngapi kwenye hotuba!!!!
 
Lazima ikuguse
 
MKUU MALISA. LOWASA NDANI YA CCM NA NCHI AMEKWISHA ANGUKA. NAKUSIHI NDUGU YANGU TAFUTA BIASHARA NYENGINE HII IMESHA OZA.

IKUMBUKWE PIA KUTAJWA KWA LOWASA NA SUMAYE NDANI YA VIKAO VYA JUU VYA CCM HAKULETI PICHA NJEMA SANA KWANI AMEKUWA AKITAJWA KAMA MFANO MBAYA KWA TAIFA LETU SI KAMA MFANO MZURI WA KUIGWA.

IKUMBUKWE KUWA ALIAMINIWA NDANI YA CHAMA NA SERIKALI NA KUPEWA WADHIFA MKUBWA WA UWAZIRI MKUU YEYE NA SUMAYE KWA NYAKATI TOFAUTI. HIVYO BASI WAO WAMEBAKI KUWA MIFANO HOVYO KABISA KATIKA CHAMA NA JAMII KUWA KUMBE WALIKUWA NI WATU WABINAFSI WENYE KUPENDA VYEO NA WALIPOKOSA VYEO WALIAMUA WATUMIE FEDHA ZAO NDANI NA NJE YA CHAMA KUHAKIKISHA WANAFANIKISHA UBINAFSI WAO.

MUNGU SI ATHUMANI WATANZANIA WAMESHA WABAINI NA MWISHO WAO UMEFIKA. WAO NA VIBARAKA WAO.

IKULU NI MAHALA PATAKATIFU HAKUNA BIASHARA PALE. BY J.K. NYERERE.

JIFUNZENI HEKIMA TOKA KWA MHE. SALIM AHMED SALIM ALIYEFANYIWA FITINA NA MTANDAO WA LOWASA KUMWINGIZA J.K. IKULU 2005 LAKINI ALIBAKI CCM. HUU NDIO UUNGWANA NA USTAARABU KATIKA UTUMISHI WA UMMA. NA SI KUKIMBIZANA NA VYAMA VYA SIASA.

MTAKIMBIA SANA MWISHOWE MTAANGUKA NA KUSHINDWA. BY M2020
 
Back
Top Bottom