TATHMINI:CCM tuna wakati mgumu sana Arusha na Manyara

Concrete

JF-Expert Member
Mar 12, 2011
3,605
549
Mpaka kufikia jana usiku tathmini ya kampeni kutoka kwa makada wa CCM walioko mkoani Arusha na Manyara kwenye kata Saba zinazotegemea kufanya uchaguzi kesho Jumapili(16/6/2013) zinaonyesha hali ya kisiasa bado si nzuri kwa chama changu cha CCM.

Ifuatayo ni tathmini fupi ya hali ya mambo ilivyo kwa CCM kwa kuzingatia mwitikio ulivyo na mategemeo yalivyo (Hii ni
kwa mujibu wa taarifa zilizovuja kutoka katika kikao cha tathmini ya kampeni za CCM jana)

KALOLENI-29%
THEMI-27%
ELERAI-27%
KIMANDOLU-28%
MAKUYUNI-41%
BASHANET-34%
DONGOBESH-32%

More updates to come....
 
Mola awape wepesi na subra ya kukabiliana na yote yanayowatokea MAGANBA,walishindwa kusoma alama za nyakati,MWIGULU LAZIMA AKAE
 
Chadema imeng'ang'ania Arusha tu mikoa mingine CCM itachukua viti vyote bila kupingwa.
 
Back
Top Bottom