Elections 2010 Tathmin ya uchaguzi 2010 hii hapa

rugumye

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
561
178
tathmini ya uchaguzi mkuu mwaka huu wa 2010
REGIONAL # OF VOTERS VOTERS TO VOTE KIKWETE LIPUMBASLAARUNGWEPETERMUGAHYWA TOTAL WINNER BY REGIONAL 20,445,725.00 13,289,721.25 5,921,447.41 1,354,708.36 5,907,913.52 40,158.00 26,542.00 38,952.00 13,289,721.29 Percentange %44.5610.1944.450.30.20.29 100.00 MIKOA SLAA10 KIKWETE11 JUMLA21 0.1

 
tathmini ya uchaguzi mkuu mwaka huu wa 2010
REGIONAL # OF VOTERS VOTERS TO VOTE KIKWETE LIPUMBASLAARUNGWEPETERMUGAHYWA TOTAL WINNER BY REGIONAL 20,445,725.00 13,289,721.25 5,921,447.41 1,354,708.36 5,907,913.52 40,158.00 26,542.00 38,952.00 13,289,721.29 Percentange %44.5610.1944.450.30.20.29 100.00 MIKOA SLAA10 KIKWETE11 JUMLA21 0.1




??????????????????????????????????????????????:rip:
 
Hajui maana ya tathmini.Maana ya tathmini ni Uchambuzi au kwa kingereza ni Analysis. Unachofanya ni kuwa unakuwa na data za kitafiti na kuanza kuzichambua mfano.
Waliojiandikisha walikuwa wangapi?waliopiga kura walikuwa wangapi na asilimia ngapi(kitaifa,kimkoa na kijimbo) ,wasiopiga kura kati ya waliojiandikisha walikuwa wangapi na asilimia ngapi(kijimbo),kwa nini hao waliojiandikisha hawakupiga kura(kimkoa) - hapa unakuwa na sababu mbalimbali za kwa nini hawakupiga kura na kila sababu inakuwa na idadi ya watu na asilimia zake.(from sample size)

Kura ngapi ziliharibika(kijimbo)

Baada ya hapo unaangalia kila mgombea wa Uraisi alipata kura ngapi na asilimia ngapi(kitaifa,kimkoa) ,kila mkoa uliongozwa na mgombea yupi na position ya kila mgombea katika mkoa.

Ili iwe tathmini kamili inabidi uangalie idadi ya viti vya ubunge ilivyopata kila chama na asilimia zake(kitaifa,kimkoa),idadi ya viti vya udiwani na asilimia (kitaifa,kimkoa,kijimbo).......

Ukipenda uanaweza ongezea Kuna masuala ya mawakala wangapi waliwekwa na vyama(kila mkoa) .........then unaweza kutengeneza graphical or table representations kutokana na analysis na ukaja na ripoti iliyokamilika ambapo Tume ya Taifa ya uchaguzi na vyama vitapewa na kuifanyia kazi.

Kwa hiyo ukisema tathmini ya uchaguzi ni kitu kipana sana inabidi uwe specific na uanze kuchambua na sio kuonesha matokeo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom