Tathimini ya utendaji kazi wabunge wa ccm & cdm | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tathimini ya utendaji kazi wabunge wa ccm & cdm

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by WISTON MWINUKA, Jun 6, 2012.

 1. WISTON MWINUKA

  WISTON MWINUKA Member

  #1
  Jun 6, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Habari zenu WATANZANIA wenzangu!Leo napenda kuwaombeni wenzangu katika majimbo mbalimbali mnijulishe utekelezaji wa ahadi walizozitoa waheshimiwa wabunge wetu wakati wa uchaguzi kama zimeanza kutekelezwa na kwa kiasi gani?Nitafurahi sana kama wana JF wamajimbo mbalimbali ya uchaguzi hapa nchini watachangia ili tuweze pata takwimu vizuri.Naomba kuwasilisha.
   
 2. Kakulwa P

  Kakulwa P JF-Expert Member

  #2
  Jun 6, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 200
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ungeanza na Jimbo lako la uchaguzi ili tutumie template yako kukupa tathimini.
  Wewe hujaifanya hiyo kazi unataka tukuanzishie? kama hauna mbunge kwenye jimbo lako pia elezea ili tukupe majibu sahihi.
   
 3. Havizya

  Havizya JF-Expert Member

  #3
  Jun 6, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1,573
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Wanafiki daima hawajifichi, wewe huna mbunge? Hata kikwete ana mbunge wake! Wewe mwenzetu waishi wapi ambako hakuna mbunge? Anza wewe, nasi tutafuatia. NYAMBAF.
   
 4. w

  wade kibadu Senior Member

  #4
  Jun 19, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ME NI MZAWA WA MIBIKI MITARI NA NAISHI JIMBO LA IRINGA.NA MUELEWA MBUNGE WA MSIGWA TANGU KAMPENI ZAKE ZA ;2010.ALIPO UKWEA UBUNGE INGAWA WALITAKA KUCHAKACHUA PALE MANISPAA ILA NGUVU YA UMMA ILITUMIKA BAC WASIMAMIZI WA UCHAGUZI.
  WAKAFUNGUKA KUMTANGAZA MSIGWA KUWA NDIE JEMBE LA JIMBO LA IRINGA.
  MAANA HIYO MSIMAMIZI WA UCHAGUZI ALIPIMA NGUVU YA UMMA NA NGUVU YA MAAGIZO KUTOKA JUU KIPI? CHENYE UZITO AKAONA NGUVU YA UMMA BAC MSIGWA AKAWA MBUNGE.
  Msigwa anaendelea kutimiza AHADI ZAKE KAMA ALIVOAHIDI NAMPA PONGEZI MOJA YA AHADI KAMA IFUATAVYO;
  01;KUMLETA MWANASHERIA WA JIMBO LA IRINGA ATAEWASAIDIA WANANCHI WAKE WA JIMBO LA IRINGA KTK MASUALA YA SHERIA AMETIMIZA BILA KUSITA.
  02;ELIMU KWA UMMA JUU YA HAKI ZAO MSIGWA HASHINDWI MSIGWA WA WATU KUELIMISHA.
  03;AMEFUNGUKA KUONGEZA VITANDA KATIKA HOSPITALI YA IRINGA NA KUPUNGUZA ADHA YA KULALA WAWILI, WATATU KITANDA KIMOJA JEMBE HAKUSITA KUFANYA IVO.
  04; MICHEZO HALI KADHARIKA AKOSEI AMETOA FACILITIES NECESSARY.
  05;ALI AHIDI KUSIMAMIA UPIMAJI WA VIWANJA AJAFANYA MAKOSA MTU WA MUNGU WA WATU.
  06;KAMA KAWA KUTETEA MASLAI YA TAIFA IPO WAZI AMEMUWEKA PEMBENI EZEKIEL MAIGE KUTOKA UWAZIRI ADI UBUNGE HIYO NI KAZI YA MSIGWA.MUMO KWA MUMO KAFUNGUKA WIZI WA TWIGA WETU NA WANYAMA WENGINE ANAZIDI KUKOMAA KUTETEA MASLAI YA TAIFA.
  HIZO NI BAADHI TU NA NI NYINGI TU HIZO NDIZO AMBAZO NIPO NAZO AWARE NA ANAENDE KUTIMIZA AHADI ZAKE.
   
Loading...