TATHIMINI ya SOKA (Mpira wa miguu) Nchini Kama ambavyo Don Nalimison anavyo chambua

Civilian Coin

JF-Expert Member
Dec 2, 2012
2,305
4,334
KUHUSU SOKA LETU NCHINI TANZANIA, TUJADILI KUOKOA MPIRA WA MIGUU NCHINI(TATHIMINI).

Bandugu naitwa Don Nalimison Mwanamziki na mdau wa soka Duniani Mimi sio kocha Bali kocha ambaye ni shabiki. Tuangalie namna gani tumekwama kufikia Malengo hata ya kuingia Kombe la Dunia na makombe ya Afrika.

NI WAPI TUMEKWAMA?

Tumekwama zaidi katika ujinga wa kukosa elimu ya soka, Mara nyingi sisi tunajifunzia Mpira mazoezini na sio darasani, wenzetu Wazungu huwa wanajifunza kwanza darasani kabla ya usajili kwa kuingia darasani walau Miezi mitatu na kufundisha nazaria za Mpira ulivyo na faida zake. Ili mchezaji anapocheza acheze kama ajira na taaluma yake nasio kuwa straker tu halafu Huna lolote Wala utaalamu na ndio maana wenzetu hustaafu baada ya kuona kuwa wakati wakuwaachia wengine na kuingia kufanya dili zingine.

NINI CHA KUFANYA SASA?

Cha kufanya sio mazoezi tu Bali ni kuzingatia yafuatayo:

1.Kupitia video za mechi za makombe ya ulaya na kuona wenzetu wanafanya Nini

2. Kupitia mafunzo ya mazoezi ya wenzetu kuona wanafanya nini.

3.Kuwa na masomo ya darasani namna ya ku control mipira.

4.Kusoma Vitabu vinavyo husu soka na mafanikio yàke.

5.Kuandaa Vijana kitaaluma kuhusu SOKA pamoja na mazoezi elekezi.

6.Kufundisha wachezaji madrafti ya soka na namna ya ukabaji.

7.Kufanya wormup za uwanjani Mara kwa Mara.

8.Kufua makipa na kuandaa umri wa wachezaji kulingana na team husika.

9.Kuunda vikosi maalum vya Walimu wa darasani na wamazoezini.

10. Kutengeneza marefa na maransmen wakuwafua wachezaji kuendana na soka la kimataifa.

Kwa ufupi ni kuwa na Jeshi kakamavu la kuokoa michezo kwa Taifa. Natarajia kuwa na team yangu miaka ijayo.

DON NALIMISON
DON NALIMISON ADVISORY BOARD
24 SPETEMBER 2020
+255 682 94 29 01.View attachment 1579409View attachment 1579409TTACH]View attachment 1579409
Screenshot_20200920-125700.png
 
+255 682 94 29 01.View attachment 1579409View attachment 1579409TTACH]View attachment 1579409View attachment 1579422
Hongera mkuu...nimekuelewa Sana point no 5 na 9.
 
Mkuu wewe ni noma kwa mauchambuzi na tathimini.
Ile tathimini yako ya jana ya maswala ya muziki na filamu na hii tathimini yako ya leo inabidi ziweke hata maktaba kwa ajili ya vizazi vijavyo kuja kujifunza.
 
Back
Top Bottom