Tathimini ya Kiasi cha Fedha kwaajili ya kuwekeza kwenye Gesi:


M2flan

M2flan

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2013
Messages
376
Likes
93
Points
45
M2flan

M2flan

JF-Expert Member
Joined Jun 27, 2013
376 93 45
Kulingana na sera ya Gesi iliyotolewa na serikali ambapo imekuwa ikibezwa kulenga zaidi Midstream na Lower Stream kisha kutozungumzia UpStream,Pia kumekuwa na tathimini ya kiasi cha fedha ambacho kinahitajika kwa mtu kuwekeza katika Gesi,ambapo ni mabilioni ya shilingi na inaonekana ni ngumu kupata mzawa mwenye kiasi hicho,Je tathimini hii ni ya kweli au ni njia ya serikali kuwakatisha tamaa wazawa katika kuwekeza kwenye Gesi na ibaki kuwa ndoto kwao?Pia ni kweli kuwa hamna utaratibu wa Banks kutoa mikopo ya thamani inayozungumzwa na kina Mh.Muhongo?Au serikali inataka hali ya wageni kuendelea kunufaika na rasilimali zetu iendelee
 

Forum statistics

Threads 1,215,333
Members 463,112
Posts 28,543,734