Tathamini: Kama watanzania wengi wangejua lugha ya Kiingereza mapema

cordoba

JF-Expert Member
Jul 15, 2017
686
962
Watanzania wangekuwa mbali sana kama wangalijua English mapema, Leo hii watanzania wangetapakaa dunia nzima, kama wasomi na wajasiriamali, pia mfano walimu wengi wa Kiswahili China na Europe si Watanzania, kwakuwa Watanzania hawana alternate language ambayo ni English, Tanzania without English is nothing.
 
Back
Top Bottom