Tataka gari kwa kulipa taratibu

jnia

Senior Member
Oct 10, 2012
112
37
Kwa aliye teayari kuuza gari yake kwa malipo ya taratibu anakaribishwa, yeyote mwenye gari ndogo ndogo vits, passo, stalet n.k tuwasiliane.
 
kama hii ...? Una sh ngapi kwanza kama kianzio cha mjumbe.

upload_2017-6-8_16-41-45.jpeg
 
kwa aliye teyari kuuza gari yake kwa malipo ya taratibu anakaribishwa, yeyote mwenye gari ndogo ndogo vits, passo, stalet n.k tuwasiliane.
Hizo passo, Vits au Toyota zote ni usafiri sio gari,

Magari ni km vw, audi BMW na mengine yanayoendana na hayo!
 
Njoo pm nina passo na subaru na bm x3 zote no.D na BM 5series no.B. Ila nakushauri kama ni mara ya kwanza kumiliki gari. Anza na gari kubwa. Ivi vidogo vinafundisha ubahili.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom