Tata vs Eicher

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,185
18,513
Naomba ushauri,

Nataka ninunue mabasi ya kusafirishia abiria kati ya miji miwili ambayo ipo umbali wa kilomita 200. Wazo napata nininue kati ya TATA na Eicher zile kama za UDA.

Naomba kujua tofauti zao kwa wale wanaojua.
 
Back
Top Bottom