Kuna tofauti kubwa sana kati ya huyu jamaa na Rais wetu maana hata mawazo yao ni tofauti,sikushangaa wakati Rais wetu alipokutana na Obama alikuwa na rundo la karatasi huku jamaa akiwa hana kitu anamsikiliza tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.