Taswira

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,140
13,215
image001.jpg
Tabaaaasamu kazini
 
[QUOT]=Amavubi;5125065]View attachment 72895
Kwenye Foleni kama kawa[/QUOTE]

Naona umeamua kutudanganya, hapo uyo mzungu anapima kilo na Obama amekanyaga mizani ili uyo mzungu ajione ana kilo nyingi zaidi
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya huyu jamaa na Rais wetu maana hata mawazo yao ni tofauti,sikushangaa wakati Rais wetu alipokutana na Obama alikuwa na rundo la karatasi huku jamaa akiwa hana kitu anamsikiliza tu.
 
Back
Top Bottom