Taswira za marehemu huacha kumbukumbu za kutisha

Kuhusu uchungaji wa Masanja kama ni wa kweli au uongo, jibu ni moja tu kuwa hapa duniani kuna kanisa moja tu la Kikristo ambalo ni la KWELI. Makanisa mengine yote yaliyobakia ni ya uongo.
Kanisa la KWELI la MUNGU ni lile linalozishika Amri zote za MUNGU na imani ya KRISTO pasipo kuyumba.
Amri za MUNGU na imani ya KRISTO, hivi viwili ndiyo humfanya mtu kuwa Mtakatifu.
Hakuna hata Amri moja ya MUNGU katika zile kumi iliyofutwa au kubadilishwa na YESU KRISTO. Yeye KRISTO na mitume wake wote walizishika kikamilifu Amri zote za MUNGU.
HIvyo basi, hawa wote akina Masanja, Lutherani, Kanisa Katoliki na wengine wote wanaovunja kwa makusudi Amri ya 4 ya MUNGU ni wakristo wa uongo!!

Mchungaji wa uongo siyo Masanja peke yake. Kila kanisa, kila nabii, kila mchungaji anayeivunja Amri ya 4, anaingia kwenye kundi lile lile la mpinga KRISTO.

Mwenye masikio na asikie.
 
Tukumbushane amri ya 4
 
Nadharia pandikizi
Baada ya ndoa nagundua wife bado ana mawasiliano na x wake lakini kwa viapo vya kiimani anakana katakata tena kwa kushika msahafu na kujiapiza malipizi mabaya
Katikati ya mishe za maisha x wa wife kwa hali ya utatanifu mkubwa anakuja kuwa msaidizi wangu kwenye mishe zangu .. CV yake inapewa backup kubwa na mkewangu ambaye ni x wake!

Yanatokea mengi machache yenye viashiria vya mwendelezo wa mahusiano lakini kwa taswira yangu mbele ya jamii inabidi nilitatue hili kwa umakini wa hali ya juu
Kutokana na majukumu ya msaidizi wangu kuna nyakati inabidi awe karibu na mkewangu ambaye ni x wake! Napambana kwa hali na mali ili msaidizi wangu apate mke halali wa ndoa na hilo nalifanikisha kwa weledi mkubwa

Mimi na mke wangu tunapata watoto wawili wa haraka haraka.. Lakini badala ya furaha kuongezeka ndani ya familia.. Malaika hawa wanazua balaa jipya! Zinaanza kuenea tetesi za kwamba hawa si damu yangu, lakini vilevile kukiwa na viashiria vya mwendelezo wa mahusiano kati ya wawili hawa.. Hali ni tete mno na inabidi nifanye jambo la haraka lakini kwa umakini mkubwa sana

Nakesha nikitafuta njia sahihi ya kutatua hili tatizo moja kwa moja, niliposhindwa kabisa nawatafuta wasiri wangu na kunipa mkakati wenye kuogofya lakini ukiwa ndio bora zaidi

Napewa ramani nzima na gharama zake na uhakika wa kazi! Watenda kazi husika wananihakikishia hiyo sio kazi yao ya kwanza na wananitajia mifano kadhaa.. Nashawishika kuwaamini kwakuwa wana connection mpaka kwenye sifongo
Nawalipa kinachowahusu, huwa hawapokei nusu maana wana hakika na kazi yao! Mimi sitakiwi kuwepo wakati kazi ikifanyika hivyo natafutiwa ziara kuepusha mengi, yangu na ya jamii

Kazi inafanyika kwa ukamilifu napata taarifa nikiwa ziarani na natumiwa ujumbe wa mwendazake kwanini akaamua kufanya aliyofanya
Kwa haraka kabisa bila kuwaza mara mbili napost mitandaoni kumtangazia msamaha mkewangu mpenzi
Halafu baada tu ya mazishi narejea kutoka ziarani na kuwasuta wambea juu ya mkewangu na ndoa yangu! Najizuia kabisa kuwataja 'wanangu'

Namna ishu ilivyopelekwa kuanzia kifo mpaka mazishi naamini kweli wale walikuwa watu wa kazi! Nawapongeza kimoyomoyo.. Halafu katikati ya pongezi natumiwa picha za malaika wawiki copyright na mwendazake!
Napata kizunguzungu kibaya
Nahisi mapigo ya moyo yakipiga kwa nguvu sana
Nahisi koo likikauka kabisa huku meno yakitoa jasho la moto.. Masikioni kuna mivumo ya sauti za kutisha
Natamani nipige kelele na kukimbia huku nikisema sio mimi..

Ufahamu unanirejea na kujikuta nakodolea macho zile sura.. Kwa sekunde unapita mkanda kama wa cinema mwanzo wa matukio mpaka hapo...kumbe kuna hawa walisahaulika...

Kumbe huu sio mwisho basi ni mwanzo mwingine wenye kutisha mno...ninachowaza ni future yangu hasa ile siku nitakapotiwa pingu na kupelekwa jengo la serikali.. Breaking news na nderemo za haters,🥱
IKAWA ASUBUHI IKAWA JIONI SIKU KWANZA!
 
Sasa hiki kinachojaribu kutengenezwa na jamii ni matokeo yale ya kutaka kuyaminya ya sirini yasiwe bayana! Kwa hali kwa sasa Masanja akiwa pekeyake na familia nyumbani atakuwa anamuangiliaje huyu malaika? Ni sura gani itakuwa inajitokeza mbele yake?

Maana wanazengo tayari waneshasaga kunguni!

Kipindi kile akipiga picha na mabinti Aliowaita waumini wake wenye maumbo ya kutamanisha wanaume na mavazi yao tata, mkewe alikuwa wapi? Na nani?

Alikuwa anajisikiaje? Kama kuna kitu mwanamke kinamuumiza ni kumsifia mwanamke mwenzake mbele ya wengine!

View attachment 2385443
What???¿
 
Aiseee napata picha mpya kabisa ya hili jambo, Mimi ni mmoja wa wale waliokuwa wanaona Masanja anaonewa karibu kajinyonga Kwa sababu zake tuu kutokana na kuchoka kula ugali, ila nikawa najiuliza tu Kwamba unaweza kumpenda mke wa mtu kiasi cha kufikia hatua ya kujinyonga????... Hilo nikaona nimuachie ndugu marehemu nitamuuliza nikifika huko aliko.

Kumbe mambo yako tofauti kumbe katibu amezaa na mama mchungaji, nawaza kama alizaa naye kabla ya ndoa basi waliokuwa wanaendelea kupasha kiporo, au la kama ni ndani ya ndoa mmmh!!. Hili linafikirisha Kwa mama mchungaji inakuaje unachepuka mpaka unapitiliza kituo eti Monica, hivi hukuwaza kama litakuletea matatizo hapo mbeleni Monica, hivi Monica hujui kama damu ni nzito kuliko maji??? Naongea na wewe Monica, kwasababu hata tukimlaumu Masanja ni bure Wakat mbususu aligawa mama mchungaji.

Suala la kifo Bado natafakari najaribu kuwaza sababu za marahemu kujidedisha kwani Wakat anamwagia ndani hakujua mbegu zitamea na kutoa mazao?? Kinachomfanya akimbie majukumu ni nini??, Nahisi Kuna mengi yanakuja mpaka hapo nishabadili mtazamo wangu
Akimbie majukumu wakat honeymoon imefanyika Dubai?
 
Kuhusu uchungaji wa Masanja kama ni wa kweli au uongo, jibu ni moja tu kuwa hapa duniani kuna kanisa moja tu la Kikristo ambalo ni la KWELI. Makanisa mengine yote yaliyobakia ni ya uongo.
Kanisa la KWELI la MUNGU ni lile linalozishika Amri zote za MUNGU na imani ya KRISTO pasipo kuyumba.
Amri za MUNGU na imani ya KRISTO, hivi viwili ndiyo humfanya mtu kuwa Mtakatifu.
Hakuna hata Amri moja ya MUNGU katika zile kumi iliyofutwa au kubadilishwa na YESU KRISTO. Yeye KRISTO na mitume wake wote walizishika kikamilifu Amri zote za MUNGU.
HIvyo basi, hawa wote akina Masanja, Lutherani, Kanisa Katoliki na wengine wote wanaovunja kwa makusudi Amri ya 4 ya MUNGU ni wakristo wa uongo!!

Mchungaji wa uongo siyo Masanja peke yake. Kila kanisa, kila nabii, kila mchungaji anayeivunja Amri ya 4, anaingia kwenye kundi lile lile la mpinga KRISTO.

Mwenye masikio na asikie.
Nilitaka kushangaa kama usingezungumzia Amri ya nne, kwa sababu msabato yeyote duniani anapozungumza Amri kumi moyoni yeye humaanisha Amri ya nne ya kushika sabato. Na hii inatokana na unabii wa uongo wa Ellen G White kuwa alichukuliwa mbinguni na alipoangalia kwenye sanduku la agano alifanikiwa kuona mbao zenye Amri kumi na Amri ya nne ilikuwa na mng'ao kuliko zingine Tisa na ndio msingi wa SDA.
 
Ebu rudi hapo juu, katibu hajakimbia majukumu. Ni kwamba ndugu wa katibu walitaka watoto wa mke wa masanja watambuliwe kuwa wa katibu kwahiyo wabadilishwe jina la baba na ukoo. Ndo shida ilikoanzia.
Au Katibu alikuwa anatumika tuu kama tunavyo tumia madume ya ng'ombe ya kuazima kupatia watoto?
Maana ukiwa na ng'ombe jike unaweza kuwa unaazima madume jirani ili kupata ndama! Sasa ajabu itakuwa pale mwenye dume kudai ndama ni wake!

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom