Taswira ya taifa katika mchoro...atayefata sijui itakuwaje. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Taswira ya taifa katika mchoro...atayefata sijui itakuwaje.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by itnojec, Jun 4, 2011.

 1. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #1
  Jun 4, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  BONGO.jpg
  bado sipati picha awamu ya tano itakuwaje.
   
 2. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #2
  Jun 4, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 3. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #3
  Jun 4, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  [​IMG]huko tuendako ni nafuuu kama tukizicheza karata zetu vizuri vinginevyo itafika wakati utatamani kuwa kana watoto wako ilikukwepa majukumu....
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Jun 4, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,152
  Trophy Points: 280
  awamu ya nne imefunika ile mbaya, safi sana.
   
 5. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #5
  Jun 4, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,184
  Trophy Points: 280
  Kudos to the fringe freedom of press we have. Madongo kuinama kwingine Afrika huwezi kuchora katuni kama hii.
   
 6. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #6
  Jun 4, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Teh teh teh Tanzania bwana,awamu ijayo nnaona jamaa atakuwa amekimeza tumboni kabisa
   
 7. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #7
  Jun 4, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Inamaana mtakubari awachakachue tena.....
   
 8. A

  Abunuas JF-Expert Member

  #8
  Jun 4, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 8,730
  Likes Received: 420
  Trophy Points: 180
  Ila nimeipenda sana hii freedom ya Tz. Nchi nyinge haya hugusi. Thanks kwa mleta kikatuni. very good.
   
 9. Kakungulume

  Kakungulume JF-Expert Member

  #9
  Jun 4, 2011
  Joined: Dec 18, 2008
  Messages: 212
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Hizi takwimu nimezipenda sana. Kwanza mmenifanya nikumbuke enzi nikiwa na BUKU sina wasiwasi, sasa hata nikiwa na BUKU10 confo ZERO
   
 10. M

  Mantaleka Senior Member

  #10
  Jun 4, 2011
  Joined: Dec 14, 2008
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nikiangalia katuni hii ninaona kana kwamba kiatu namba moja na kiatu namba tatu vimewekewa fremu, na vilevle kuna mngáo juu katika rangi ya maji ya bahari, ina nipa utata kidogo, je ina maana namba moja na namba tatu kuna kurandana ! na namba mbili na namba nne kuna kufanana ! au mchoraji aliamua tu kufanya namba moja itofautiane na namba mbili, na kwa utaratibu huo huo iwe kwa namba tau na namba nne ? mhn, nadhani mchoraji ana kusudia kutueleza mengi zaidi katika mchoro huu kuliko wengi wetu tunavyo fikiria, Big Up rafiki kwangu mimi message nimeipata kiuhakika, thank you !!
   
 11. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #11
  Jun 4, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Upo makini sana mkuu, ni kweli awamu ya JK inafanana sana na Ruksa hali kadhalika Kifimbo na Mzee wa Uwazi n ukweli.
   
 12. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #12
  Jun 4, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Tutafanyaje na kila siku tunapata kipigo cha polisi tunawekwa ,selo,tunafunguliwa kesi za uongo wamebakisha kutunyofoa roho
   
 13. maulaga

  maulaga JF-Expert Member

  #13
  Jun 4, 2011
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 472
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nchi nyingine kama zipi?
   
 14. Piere. Fm

  Piere. Fm JF-Expert Member

  #14
  Jun 4, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,194
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Kwel mkubwa kuna kitu cha ziada mchora katuni amemaanisha katika hizo picha zilzo na fremu na zile zisizo fremu. Hiyo ndio kazi ya FASIHI.
   
Loading...