Taswira ya Leo

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,729
155,410
1266145167_b.jpg

jkkidude.jpg

Rais Kikwete (kushoto), akisakata rhumba na Bi. Kidude, huku mkewe mama Salma (kulia), akiwasaidia.
 
Kikwete bana, kwa burudani humtoi, lakini hafanyi jitihada zozote kuhakikisha haki za Wasanii zinalidwa, anasema anapenda sana Bongoflava, lakini hasikii kilio chao cha ukosefu wa studio, wizi wa kazi zao, haitoshi kusakata Rumbah na kuwaacha masikini, JK uliwaambia uwongo wakati wa kampeni , na ulitoa ahadi lukuki dhidi yao.....
 
but uncle nilimwona rc akitumbuiza,ze wei she dressed for me mmmmmmmmmmmmmh,SIKUPENDA
 
Kikwete bana, kwa burudani humtoi, lakini hafanyi jitihada zozote kuhakikisha haki za Wasanii zinalidwa, anasema anapenda sana Bongoflava, lakini hasikii kilio chao cha ukosefu wa studio, wizi wa kazi zao, haitoshi kusakata Rumbah na kuwaacha masikini, JK uliwaambia uwongo wakati wa kampeni , na ulitoa ahadi lukuki dhidi yao.....

nasikia eti serikali ina mpango wa kuleta mashine za kudurufu cd na tapes, pia kufungua studio kubwa yenye kutumia mfumo wa digital.
ila nasikia ruge ndiyo ameshamegewa pande la usimamizi wa mradi huo.
kazi kwelikweli.
 
Nguvumali Watchou ! Msanii daima haangalii wasanii washindani wenzake.Iweje leo Msanii JK kuwakumbuka wasanii wenzie?
 
nasikia eti serikali ina mpango wa kuleta mashine za kudurufu cd na tapes, pia kufungua studio kubwa yenye kutumia mfumo wa digital.
ila nasikia ruge ndiyo ameshamegewa pande la usimamizi wa mradi huo.
kazi kwelikweli.
HUO NI USANII juu ya wasanii, maana kampeni zinaanza, JK anawahitaji sana kwenye kampeni zake, anaanza kuwaongopea tena, na kwa umasikini wao wakukumbuka mambo wameisha sahau kuwa miaka minne iliopita aliwaahidi mambo lukuki pale IKULu Leo anaibuka na blah blah hizo.....
 
Prof J--------Nasema mikono juu yo mikono juu.........tenaaaa..........tenaaaaaa.......................
Kwi kwiii kwiiiiiii sikuwa na mbavu presdaa alivyokuwa anarusha mikono
 
Wakuu,
Nimeitazama hii picha ya Rais wetu,Mkewe na Bi Kidude sijailelewa vizuri.Sijawahi kuona Rais mwingine akipozi hivi. Halafu gazeti hilohilo chini kulia kuna piacha ya mtoto amepozi kama JK alivyopozi.Hivi huwa haongozwi namna ya kupozi?
 
Back
Top Bottom